scramble
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,593
- 257
ila chupi ndo yake:rockon:
juliana ninae mfahamu ni huyu. hapo alikua ameiteka goba
ila chupi ndo yake:rockon:
wananchi wa tanzania tunachotaka ni maisha bora kama henzi za mzee kawawa, habari ya elimu wapelekee magamba alafu kwenye kura wenye elimu wawapigie wenye elimu na sisi walala hoi tuwapigie wasio na elimu, na zaidi ya hapo yanapotakiwa maandamano wenye elimu waadamane vyao na sisi walalahoi tuandamane vyetu alafu tuone nani atashida, ccm hamna hila mtakayoifanya ikawacha salama, kwa kuwa mnatumia elimu kama hila, jibu lake ni kwamba mnawadharau watu wote wenye elimu ndogo,kwa hila hiyo mnazidi kujipaka mavi mbele ya watanzania walio hoi ambao ndio mtaji wa chadema.Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Aisee nimeipitia hii kitu hapaChama cha Degree za Magumashi = CHADEMA
By scramble![]()
![]()
![]()
![]()
kuna mdau ameniuliza slaa ana shahada ya kwanza ya chuo kikuu? nikakosa jibu
akaniuliza tena: slaa ana masters? nikakosa jibu
akaniuliza: mtu anaweza kupata phd (isiyo honorary) bila ya kuwa na masters degree? nikakaa kimya
akaniuliza: cheo cha udokta amekipata wapi slaa hadi aitwe dr slaa? nikaguna
akaniuliza: unajua kuwa slaa phd yake ni ya kidini (canon law) nikamuambia kuwa mi nilidhani ni ya masomo mengine. kumbe ni ya kidini!?
"ka nchi haka kananuka" j.k. nyerere
akanirushia hizi data na mimi nimeona bora mnisaidieni kujibu hayo maswali hapo juu!
EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993
TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985
St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981
St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]
Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973
Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969
Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960
INA MAANA CHADEMA WASOMI NI LISSU, ZITTO, PROF WA KISWAHILI NA MDEE PEKE YAO! mmmmmhhhh! kazi ipo!
Katika nchi za
Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye
elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa
wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe
Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu
nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Ukisema hata Kawawa alikuwa na elimu kama hiyo, lazima umalizie na kutuambia "na akafanya hiki na kile na hiki kwa mafanikio."Mzee Kawawa alikuwa na elimu gani wakati wa utawala wake? Au Shonza alikuwa bado hajazaliwa!
Hii Phd ya elimu Roma TCU wanaitambua?
Ni ya masomo ya secular! Dr Kitima Vc wa SAUT ana Phd ya Canon law inayotambuliwa na TCU na anafundisha law pale SAUT!kama umeelewa maswali niliyoulizwa hapo juu, naomba unisaidie nimjibu vipi alieniuliza. kuweka ufafanuzi kuhusu canon law na phd yake ni nini, unakua hujanisaidia. jibu kwanza swali hili: phd ya slaa ni ya masomo ya biblia au masomo ya secular? kama ni ya kibiblia, hakuna hatari ya kutawala nchi kwa mfumo na mtazamo wa biblia hali ya kuwa chi yetu haina dini!?
Kumekucha...
Aisee nimeipitia hii kitu hapa
Nimejiuliza maswali mengi yaliyokosa majibu.,ni vipi hawa jamaa wakawa na chama chenye mkusanyiko wa watu magumashi kiasi hiki.,kitila mkumbo ni mbakaji hilo linajulikana wazi.,lissu anamatatizo ya ubongo na madaktari wamethibitisha hilo.,halima ana matatizo yanayohusiana na jinsia na hili liko wazi zaidi ya mengine na hawa ndio wasomi ndani ya Chadema, na the rest ni mambumbumbu wa kutupwa, wakiongozwa na DJ mbowe na MC sugu..,hiki chama ni pasua kichwa...!