Juliana Shonza amlipua Mbowe

Juliana Shonza amlipua Mbowe

sisi huku msigani tuna diwani wetu hana hayo madigrii yenu ila jembe kweli kweli. namkubari mbowe kwa uwezo wake elimu bila hekima ni sawa na hereni ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Huyu Binti tumsamehe bure ana mtindio wa ubongo.
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Juliana Shonza usisahau tunaye Waziri wa elimu, Dr, aliyewafelisha kwa 0 na four zaidi ya wanafunzi laki tatu!
 
Last edited by a moderator:
Binti umeshamaliza habari zako sasa wewe piga lomo sasa..njaa itakuua Elimu inahusiana nini na Uongozi..kama hujui Uongozi ni karama ni kipaji sio njaa njaa kama zako...
 
Inavyoonekana haujamaliza hata darasa la saba..,maana hata kuandika haujui..,jifunze kwanza kuandika ili tuweze kuelewa unachokimaanisha kwenye maandishi yako..,binafsi sijaelewa kitu.

Dada mbona unakuja juu, au Ujumbe umekuingia sana. MSUMARRIII HUUUUWOOO!!! Unafanyejeee?? Unachomaaa! Wapiiiii,MOYOOONI, MACHOOONI?? KOTE KOTEEE!!!
Elimu yangu ni Darasa la Nne la Mkoloni! Sawa na Form six,ya sasa! Je hadi hapa Upoo? Massage umeelewa sana, na kama hukuielewa tafuta Kamusi ya Kiswahili!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Mbona Mbowe alisoma Ihungo Sekondari na kumaliza kidato cha sita? Na Hull Univeristy je aliendaje? I doubt ukweli wa huyu dada lakini muhimu si elimu ila uwezo. Hivi Jacob Zuma alimaliza darasa la ngapi? How many of Tanzanian politicians can match him? Aibu kwa wanasiasa wa chama tawala ku capitalize kwenye personal attacks!

kwa kuongezea tu alipata div 1 ila hakujiunga na chuo alipata kazi BOT
 
Hebu jamani mwenye NO ya huyu Juliana hebu aniwekee hapa kwani nina kitu nataka nimwambie!

Wahed kabisa!
 
Mkuu Ng'wamapalala naona umeamua kujivika upofu mchana wa jua kali. Huo mfano wa Rajoelina ni kukuonyesha tu kwamba hata DJ anaweza kushika the top most position.
Pressure kutoka international community zipo hata kwa maraisi walioingia ikulu kwa kura. Na rajoelina hagombei tena uraisi kama ilivyo kwa Ravalomanana kama peace agreement.

Suala la delivery ni kitu kingine kwakuwa haitegemei umeingiaje ikulu. Raisi Kikwete ameshindwa kuiongoza nchi tunashuhudia mauaji ya kirejareja. Kikwete hata hajui hata sababu ya umasikini wa nchi hii na alipigiwa kura za kishindo na watanzania mwaka 2005.
Leadership is all about function, it's all about delivery not school certificates! Kama certificates ndo kila kitu basi tusingeshuhudia huu ujinga unaofanywa na serikali ya ccm iliyojaa maprofesa.

Mkuu Mwita Maranya macho yangu wala hayahitaji kusafishwa.

Sipendi niingie kwenye haya marumbano yanayoendelea hapa. Kwa mawazo yangu, kuufananisha utendaji wa Mh. Mbowe na siasa anazoziendesha huyu jamaa wa Madagascar siyo busara wala hekima. Kufanya hivi ni kumshusha sana Mh. Mbowe kisiasa. Huu ndiyo ukweli

Njia zipi hizo alikuwa anazodoa ambazo zinamfanya DJ ashike madaraka ya juu. Kama ni kwa njia za huyu jamaa, matokeo yake ndiyo hayo kwa nchi ku-paralyse socially and economically mpaka kuamua kukimbia mwenyewe.

in either way, that was bad spinning. Mh. Mbowe is better than this analogy.

Tukubali kutokubaliana.
 
Huyu Binti tumsamehe bure ana mtindio wa ubongo.

Ni kama mtoto aliyenunuliwa ndala mpya. Atataka kwenda nazo mpaka shuleni. Only after few days to know they were meant for bathing! Poor Juliana Shonza. Rest assured you ve just added number in the boss's pool! Utawapumzisha wakubwa wengi na kutupwa kando!
 
Last edited by a moderator:
mbona hao waliosoma walishindwa kututetea juu ya dowans akamulize waziri wa eac wale ni wasomi
 
Juliana na ka umbo lake kazurizuri , kina mwigulu, nani na nani,c unajua magamba yanawatoto wengi mtaani haijalishi wa kiume au wa kike! Jk anawake wangapi, malecela, buriani wa lema kazaa mimba ya lowasa? Ridhiwa na miraji mama yao ni mmoja? Acheni umbulula
 
Mbona mimi nafahamu kwamba Juliana ndio malaya kuliko wote aliyewahi kutokea kuwa mwanasiasa duniani

Haya mambo yapo tu, kwenye kila tukio kuna awali

Na mbowe atakua awali ya elimu ndogo lakini ya ukweli na si ya kchakachua

Juliana hajafikia hadhi ya kuitwa mwanasiasa, huyu ni mpiga porojo tu. Asilimia 99.9 ndani ya CCM wapo kwenye kundi hili la wapiga porojo ndiyo maana nchi imebaki kupiga marktime! Juliana alitambua hili mapema thats why she joined them. Mwanasiasa ni mtu mwenye vision ya kiuchumi na kijamii, composed and intelect mind, mwenye uwezo wa kufikiri na kupambanua masuala ya msingi! Shonza anaongozwa na falsafa gani katika harakati zake za kisiasa zaidi ya umbea anaoupiga kila kukicha?
 
Mjadala unaoendelea kule. Fb ni huu:

Mafanikio Makubwa ya serikali ya awamu ya nne katika elimu nchini mwetu kama yanvyoonekana katika matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012.

Kwa watahiniwa wa shule(school candidates) waliofanya exams walikuwa 397,136, I=1,641, II=6,453, III=15,426, IV=103,327. Jumla ya I-IV=126,847; Hivyo basi Zero ni 397,136 - 126,847=270,289---. Hivyo asilimia ya ZERO ni 68.1. Ukichanganya ZERO na IV ni asilimia 94.1, ikiwa na maana kuwa waliopata I-III ni 5.9%.

"Wamethubutu, Wameweza na Wanasonga mbele".
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Jamani kuna msiba umetokea - msiba maana sina neno jingine la kuuelezea-.

Wanafunzi 93% + wamepata division 0 au 4. By some accounts up to 65% wamepata division 0.

Kama mtu anajali kweli formal education, atawezaje kung'ang'ania elimu ya mtu mmoja wakati tuna uozo ulio systemic unaoathiri malaki ya wahitimu kila mwaka?

Pure puppeteering and political palavering.
 
Inavyoonekana haujamaliza hata darasa la saba..,maana hata kuandika haujui..,jifunze kwanza kuandika ili tuweze kuelewa unachokimaanisha kwenye maandishi yako..,binafsi sijaelewa kitu.
Wewe umemaliza la saba? soma heading ya thread yako. Ni amlipua au ni "alimpua". Mtafute huyo unayemrekebisha mrudi darasani pamoja
 
Back
Top Bottom