Then ni kosa la mleta thread kuleta thread ya kuchumbiwa tuu lakini sikumbuki kama thread ya harusi, iliishawahi kupanda humu!, unless kama hiyo harusi ilikuwa ya siri au very private!, sikumbuki kuona picha ya mrembo huyu na shela popote!.
P.
Its true nimekuwa mvivu sana kwenda fb, ila nilitegemea kwa vile huyu ni member wetu humu, na uchumba uliletwa humu, nikategemea na harusi ingeletwa humu!.Nenda official page ya Juliana Shonza utaziona Paschal, umekuwa mvivu wa kufuatilia mambo siku hizi Mzee
Hahaaah!. Kama Angera Kairuki. Viongozi akina sisita du waume wanapigwa mabarozini ili wawanafasi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]Du!, asante kwa taarifa hii, japo imenikata maini maana...
Basi tuzidi kumuombea, na mumewe pia apate posti ya ubalozini...
Hongera sana mrs fulani!.
P.
Hata kama ni kweli, haya sii maneno mazuri kwa mke wa mtu!, sio heshima kwa waziri mteule wetu!.Hii ni baada ya kuliwa na sisi makamanda, kikamanda kamanda! Tulimchezea sana...
Ha ha ha blame game....Then ni kosa la mleta thread kuleta thread ya kuchumbiwa tuu lakini sikumbuki kama thread ya harusi, iliishawahi kupanda humu!, unless kama hiyo harusi ilikuwa ya siri au very private!, sikumbuki kuona picha ya mrembo huyu na shela popote!.
P.
😀😀😀 post za ubalozini hazijawahi kuacha salam ndoa zetuDu!, asante kwa taarifa hii, japo imenikata maini maana...
Basi tuzidi kumuombea, na mumewe pia apate posti ya ubalozini...
Hongera sana mrs fulani!.
P.
We jamaa unang'ata na kupulizaIts true nimekuwa mvivu sana kwenda fb, ila nilitegemea kwa vile huyu ni member wetu humu, na uchumba uliletwa humu, nikategemea na harusi ingeletwa humu!.
All and all, hongera zake, tutegemee na uteuzi wa ubalozini kwa mwenza wake!.
P.
Hongera kwa kuchaguliwa kuwa naibu wazinziTeh teh teh NA BADO,
Kubenea itakuwaje !?Na aolewe salama
hahaha pasco umenichekesha mzee mwenzangu hii post ya unafki sanaDu!, asante kwa taarifa hii, japo imenikata maini maana...
Basi tuzidi kumuombea, na mumewe pia apate posti ya ubalozini...
Hongera sana mrs fulani!.
P.
Mlishabarikiwa watoto au bado?Duh inaonyesha Roho inakuuma mkuu,pole weee
Hawezi akakujibu
Kuna taarifa zisizo rasmi kua ndoa yenyewe iliyeyuka (ilikua ndoa hewa?).My god ukistaajabu ya walimwengu, naomba mwenye kujua huyu jamaa alimuoa Juliana?