Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,356
Huu ni zaidi ya wimbo wa kawaida, unazungumzia ufisadi na hatima ya Kenya ingawa kinachosemwa kinahusu pia hapa kwetu.
Wazo la kufanya video na wananchi wote lilikuwa poa sana, na huyo model ambaye ni mtoto Super-Kenyan ametisha kwenye nafasi yake.
Itizame ufurahi na uelimike...
Wazo la kufanya video na wananchi wote lilikuwa poa sana, na huyo model ambaye ni mtoto Super-Kenyan ametisha kwenye nafasi yake.
Itizame ufurahi na uelimike...
Last edited by a moderator: