Jukwaa pendwa la wakubwa limeenda wapi???

Jukwaa pendwa la wakubwa limeenda wapi???

Mkuu hiyo access ya jukwaa la Wakubwa unaenda kwenye office za jamii forums kuwaomba au ?? Mimi niliwa Pm moderators hawaku nijibu
Mbona haki sawa kwa kila mtanzania hapa mnatubania
Wekeni wazi vigezo vya kujiunga na hilo jukwaa sio tunategemea leo Mods wameamkaje kama kagombana na mkewe/mmewe ndio ukatuma maombi inakula kwako

Njia ya kupata access ni kuwa pm moderators likirudi jaribu kufanya hivyo tena na tena utapata access tu.
 
Hahahaha! Nilijua Mimi tu ndo silioni. Kumbe limeondolewa kabisa, sasa kwann hawakutoa taarifa kwa sisi wadau!

Hii magufuli style imeingia hadi jf.ni Shida.
 
Back
Top Bottom