HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Hujambo?Kwani ulikuwa una access ya hili jukwaa?
Hujambo?Kwani ulikuwa una access ya hili jukwaa?
Ha ha kwani zari wa Hollywood?
Miss u badlyTeh Teh ntakulipia!
Miss you!
Ufanyie kazi, kidogo kidogo mwonekano mpya utaenda nao sawa.huu mwonekano mpya sijaelewa ni mgumu kutumia
Kama lina faida kwako hiyo hela itakuwa ndogo sana na si chochote kitu...Huu siyo uungwana ni unyonyaji.
Utaratibu utakuwa huu hapa chini ili kupata accessNashangaa wamelificha wapi hili jukwaa
Teh Teh Teh
Kwa sasa watu watapewa access kwa Tsh 2000/= kwa mwezi na kila baada ya mwezi utalazimika kuomba tena kwa Tsh 2000
Kumbe ulikuwa mdau. Pole sanaNashangaa wamelificha wapi hili jukwaa
Sikuzote ulikuwa huna access? Basi umepotwa sana.muulize @ masai dada atakupa utamu wake.
Utazoea tuu wala usilazimishe kuelewa mapema!huu mwonekano mpya sijaelewa ni mgumu kutumia
Hivi cuzoo hunipendi kiasi hicho?naomba tu ukitulize cuzoo wangu kule si kuzuri...hahaa utapofuka..ndo maana sikuwah kukujuza kuhusu hilo jukwaa..
we we bado hujaota meno! tulia kwanza na endelea kunyonya mpaka meno yaote!! Haha haha haaaa!!Huko kwenye jukwaa la wakubwa kuna nini wajameni?
Likirudi na mie nitaomba access maana naona nitakuwa nimepitwa sana.
Unaombaje?Unaomba access kwa moderators.