Liko wapi? Mbona wengine hatulioni?
Mimi muonekano wangu tu unatosha cheti hakina nafasi.
Mimi muonekano wangu tu unatosha cheti hakina nafasi.
Lirudi tu jukwaa letu.....!!!!Habari MMU.
Naomba kujulishwa lilipoamoa Hili jukwaa pendwa Maana leo silioni.nawasilisha.
Huioni hiyo avatar hapo?
Jamani hili jukwaa ni stress free hata ukikorofishwa n.a. boss kazini ukiingia kwenye jukwaa la wakubwa unafarijika kidogo.walirudishe tafadhali.
naomba tu ukitulize cuzoo wangu kule si kuzuri...hahaa utapofuka..ndo maana sikuwah kukujuza kuhusu hilo jukwaa..Huko kwenye jukwaa la wakubwa kuna nini wajameni?
Likirudi na mie nitaomba access maana naona nitakuwa nimepitwa sana.
Ya kwangu ni real.yako ndo inanipa wasiwasi.
Ha haaaa usiwe Tomaso. ...