Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

Tena hawo wabunge waccm hata kusema kitu kipindi hicho au kwenda Iringa kutoa pole au bungeni kumpa pole mbunge wa jimbo hilo kimyaaa eti leo wanasema Uhuru wa habari na yule mwandishi wa habari alopiga picha ya tukio la mwangosi alivyofariki hakuna hata mmoja aloenda hata kumwaga sinza leo full maandamano Madawa ya kulevya ni hatarii sanaa....wapi kina ditopile aloweza kumshoot mtu hadharani na hawakuandamana
Kuna mambo yanatia kihefchef sana mkuu.
Yani hawa wanatufanya hamnazo, hivi kweli mtu anaandikwa vibaya kila siku alafuleo unasema eti hatuandiki habarizake.
Sasa sijui nikumkomoa ama nikumfanya apumzike na makelele anayopigiwa kila siku.

Kunamambo mengine mtu huitaji hata sekunde kufikiri ilikujua pumba na mchele.

There something's goes around.
 
_95245008_p04xh4j5.jpg

Jukwaa la wahariri nchini Tanzania limeazimia kutoandika ama kutangaza habari zozote zinazomuhusisha mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya kiongozi huyo kudaiwa kuvamia kituo cha habari cha Clouds akiwa ameambatana na askari wenye silaha ili kutoa amri ya kurushwa hewani kwa kipindi cha televisheni.

Marufuku hiyo ambayo pia inaungwa mkono na umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania, itaendelea mpaka pale itakapotangazwa ama kuamriwa vinginevyo, wakuu wa jukwaa hilo wamesema.

Katibu wa jukwaa la wahariri nchini Tanzania Nevile Meena, amesema jukwaa hilo limekerwa na hatua ya afisa huyo wa serikali kuamuru kurushwa hewani kwa kipindi cha televisheni sambamba na kutumia nguvu kupora kipindi mali ya Clouds TV.

Rais Magufuli siku ya Jumatatu alimtaka Bw Makonda kuendelea kuchapa kazi

BBC SWAHILI
 
kijana wa call me j alishasema safari yake yote ya kufahamika ilisababishwa na mheshimiwa mpya wa habari pale walipokutana akampeleka kwa marahemu six .hivyo vyombe vya habari vitalazimishwa tu kuandika habari zake subiri muda utasema, maana yeye ni mtu wake pengine yeye ndo kapendekeza kwa mfalme ili jamaa achaguliwe amlinde
 
Habari wana jamvi

Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakipiga kelele kuhusu lile swala la kutoandika habari za Makonda katika media, kwamba kwanini Makonda anaandikwa wakati kulikua na makubaliano asiandikwe?

Habari yoyote kuhusu Makonda ambayo inam-favor yeye ndo haitaandikwa ila habari ambazo hazitakuwa zikim-favor zitaendelea kuandikwa kama kawaida until declared otherwise!
Na leo ndo mambo yameanza kufika patamu kabsa katika ishu ya Makonda, tuendelee kupeana updates kutoka Bungeni!

Nawakilisha....
 
Duh naona singo ya Bashite inarudi kwenye chati kwa kasi. Washabiki wameikubali sana maana Production imefanyika pale Koromije Record's Baby!! Singo itaendelea kupigiwa Promo hadi kwenye Nyumba za Ibada. ...stay tuned.
 
Habari wana jamvi

Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakipiga kelele kuhusu lile swala la kutoandika habari za Makonda katika media, kwamba kwanini Makonda anaandikwa wakati kulikua na makubaliano asiandikwe?

Habari yoyote kuhusu Makonda ambayo inam-favor yeye ndo haitaandikwa ila habari ambazo hazitakuwa zikim-favor zitaendelea kuandikwa kama kawaida until declared otherwise!
Na leo ndo mambo yameanza kufika patamu kabsa katika ishu ya Makonda, tuendelee kupeana updates kutoka Bungeni!

Nawakilisha....
basi :)
 
Angalia tangazo lenu linasemaje mkuu,unakuja hapa kurekebesha kama nani?Waandishi ndio uwezo wenu ulipofika hapo?Habari inayoweza kum favour kiongozi wakati yeye anafanya kazi kwa niaba ya wana Darisalama?
 
Big up Jukwaa la Wahariri Tanzania mmethubutu!
Tuache nidhamu za woga za kuwatetemekea Watawala wanaominya uhuru wa Habari au uhuru wa kujieleza!!
RC Makonda a.k.a Jipu la Koromije na Babake mlezi lazima washikishwe adabu maana hawana adabu!!Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu!!!
 
Wahariri wana njaa sana. Agizo hilo haliwezi kutekelezeka...

Waliwahi kufanya hivyo kwa Juma Nkamia, Tulia Ackson wakaishia wapi?....

Kuna njaa mbaya sana ndani ya media industry. Hilo haliwezekni

Wewe mwenyewe unaonekana una njaa sana mbona unaitukuza kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom