publicity yake itashuka sana hasa ukizingatia utendaji kazi wake ulikuwa kwenye media 80%
Sasa hivi Makonda ana bad publicity!
Anapata negative press coverage.
Sasa ukimuondolea press coverage unampunguzia nini?
publicity yake itashuka sana hasa ukizingatia utendaji kazi wake ulikuwa kwenye media 80%
Vipi tbc na uhuru na mzalendo?View attachment 484747
View attachment 484731
DAR TODAY:
Jukwaa la Wahariri Tanzania limelaani kitendo kilichofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar na kutangaza atakayeshirikiana naye, *hawatarusha matangazo yake.*
"Utekelezaji agizo la kutokufanya kazi na RC Dar unaanza mara moja kwa vyombo vyote vya habari nchini, uamuzi huu waungwa mkono na UTPC"-TEF.
dunia ya chiligati ndio ya leo?Hamna shida hoja yangu ni kwamba huko nyuma walishawahi kususa wakafanikiwa kumbuka enzi za chiligati pia walifanikiwa kimsusia for some time hivyo msiwadharau kihivyo nguvu yao
Kama tutamwandika kwa kuwa kafanya uhalifu ni ruksa na huko si kumpa ushirikiano bali kumfichua mhalifu.deal done..nchi ya ajabu sana hii...sasa wasipomuandika si ndio atafanya anavyoweza!tujiulize bila vyombo vya habari kuripoti tukio la kuvamiwa clouds tungelijuaje?hapa ni kumpa rungu afanye atakavyo.
Hawaandiki habari zake wakimaanisha press conference zake na press releases kwa ufupi hawaandiki any news INITIATED BY MAKONDA kwa makonda hii ni blow maana kila alichofanya ikiwemo ziara sijui siku ya usafi na sijui vita ya madawa almost 80% ya kazi zile ilikuwa kwenye media zaidi.......... so ana mengi ya kupoteza.Sasa hivi Makonda ana bad publicity!
Anapata negative press coverage.
Sasa ukimuondolea press coverage unampunguzia nini?
haya refer kwa mukangara na juma nkamia mbona waliweza hadi mukangara akaomba pooo na sherehe juuudunia ya chiligati ndio ya leo?
na hii inaitwa uvamizi wa makonda clouds nakwambieni source ni njaa ya waandishi wa habari.Wahariri wana njaa sana. Agizo hilo haliwezi kutekelezeka...
Waliwahi kufanya hivyo kwa Juma Nkamia, Tulia Ackson wakaishia wapi?....
Kuna njaa mbaya sana ndani ya media industry. Hilo haliwezekni