Jukwaa la chit chat matatani

wanaume hawawaji wambeya wao wanasema ukweli
mbeya ni wewe unayejifaragua kwamba hutaki huku unataka.
yaani Bishanga wewe ni mbeya kweli kweli hakianani lol lakini tuliachan huku ila kwenye simu twawasiliana haya kalilie mabondeni .
 
Hahahaaaaa... ndo nini kunikurupusha roho mwana wa mwanamke mwenzio???
 
ooopppss!!! nikazani server imedoda !!! hahhaha kumbe kumisiana .....
 
Nimejikuta nimekupenda bure mpaka naimba kulugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…