judith,
nina imani usingizi uliolala huwezi tena kuamka.nilipoangalia video ya tukio lililoondoa uhai leo na juhudi za wenzio kukuamsha japo uuone mwanga wa ulimwengu huu kwa mara ya mwisho,hukufanya hivyo.nimeshuhudia tu kufumba kwa macho yako meno kushikana na kinywa kufumba.kwangu mimi nina imani kubwa na matendo haya mawili.
Kinywa kinafumba kwa sababu yale uliyopaswa kuyasema uliyasema lakini hawakusikia,na macho yamefumba kwa sababu uliyoyasema na kuyapigania hukuona mabadiliko,ni matokeo hayohayo ya uovu,ufisadi na uzandiki ambayo yamekulaza chini.
Ninayo imani,umeshakutana na mungu wa kweli mwenye kuumba,pengine huko uliko unayaona yanayotendeka katika nchi hii kwa uwazi zaidi.mwambie mungu ya kuwa ni wengi tunatamani kuja kwake lakini kwa matakwa yake,mweleze bila kificho ya kuwa kama atatuchukua kwake kwa njia uliyoenda pengine tutakuwa tunastahili hukumu isiyo yetu.tuombee japo atupe miaka michache ili ukombozi wa taifa hili uonekane.mwisho umwambie tunakushukuru kwa zawadi aliyotupa kwa muda ambayo ni wewe.mwambie kamwe kuzaliwa na kuondoka kwako kurudi kwake siyo kwa bahati mbaya.
Mwambie kabisa ya kuwa,dalili za ukombozi zinaonekana dhahiri,toa hesabu ya matendo yako na ueleze upepo unavyovyuma kutoka mtwara mpaka arusha ni dalili za kitu kamili.mwambie kusini na kaskazini watu wako hawaangamii tena kwa kukosa maarifa.
Mwambie kabisa,wanakushukuru na kuzipigania kwa nguvu raslimali na tunu za taifa hili.
Mwisho msihi sana bwana mungu wa majeshi ya kwamba,asisimame tena mbali na sisi,joka linataka kutumeza,msaada wake kwa wakati huu ni wa muhimu sana.
Kwaheri dada judith,ulale usingizi wa amani!
......Kizazi chenu kina mikosi na kulaaniwa...Tatizo hapa ni hawa watoto wa Kichaga kwa sababu ya tamaa zao za pesa wakizani kuwa Chadema itawafanya kuwa Matajiri kuweni makini haya maisha mafupi siku hizi nyinyi kazi yenu ni kutolewa sadaka za Kifreemason na hao Makamanda wenu mtakwisha kwa tamaa zenu eti mbowe mbowe na Lema mbona hawa waeki ndugu zao na shemeji zao nyie mazumbukuku mtakwisha wacha tamaaaa..........
Tatizo hapa ni hawa watoto wa Kichaga kwa sababu ya tamaa zao za pesa wakizani kuwa Chadema itawafanya kuwa Matajiri kuweni makini haya maisha mafupi siku hizi nyinyi kazi yenu ni kutolewa sadaka za Kifreemason na hao Makamanda wenu mtakwisha kwa tamaa zenu eti mbowe mbowe na Lema mbona hawa waeki ndugu zao na shemeji zao nyie mazumbukuku mtakwisha wacha tamaaaa..........
Judith,
Nina imani usingizi uliolala huwezi tena kuamka.Nilipoangalia video ya tukio lililoondoa uhai leo na juhudi za wenzio kukuamsha japo uuone mwanga wa ulimwengu huu kwa mara ya mwisho,hukufanya hivyo.Nimeshuhudia tu kufumba kwa macho yako meno kushikana na kinywa kufumba.Kwangu mimi nina imani kubwa na matendo haya mawili.
Kinywa kinafumba kwa sababu yale uliyopaswa kuyasema uliyasema lakini hawakusikia,na macho yamefumba kwa sababu uliyoyasema na kuyapigania hukuona mabadiliko,ni matokeo hayohayo ya uovu,ufisadi na uzandiki ambayo yamekulaza chini.
Ninayo imani,umeshakutana na Mungu wa kweli mwenye kuumba,pengine huko uliko unayaona yanayotendeka katika nchi hii kwa uwazi zaidi.Mwambie Mungu ya kuwa ni wengi tunatamani kuja kwake lakini kwa matakwa yake,mweleze bila kificho ya kuwa kama atatuchukua kwake kwa njia uliyoenda pengine tutakuwa tunastahili hukumu isiyo yetu.Tuombee japo atupe miaka michache ili ukombozi wa taifa hili uonekane.Mwisho umwambie tunakushukuru kwa zawadi aliyotupa kwa muda ambayo ni WEWE.Mwambie kamwe kuzaliwa na kuondoka kwako kurudi kwake siyo kwa bahati mbaya.
Mwambie kabisa ya kuwa,dalili za ukombozi zinaonekana dhahiri,toa hesabu ya matendo yako na ueleze upepo unavyovyuma kutoka Mtwara mpaka Arusha ni dalili za kitu kamili.Mwambie kusini na Kaskazini watu wako hawaangamii tena kwa kukosa maarifa.
Mwambie kabisa,wanakushukuru na kuzipigania kwa nguvu raslimali na tunu za taifa hili.
Mwisho msihi sana Bwana Mungu wa majeshi ya kwamba,asisimame tena mbali na sisi,joka linataka kutumeza,msaada wake kwa wakati huu ni wa muhimu sana.
Kwaheri dada Judith,ulale usingizi wa amani!
Naomba uni pm tuweze kuwasiliana nikupe na simu yangu tuandae ujumbe huu kwa kuongeza baadhi ya maneno alafu tuusambaze nchi nzima kwenye simu za wapenda mabadiliko na wapenz wote wa chadema
unaonaje hii tukampa karajeremaya au profesa J au sugu ikatengenrezwa singo kwa style ya mashairi kama ya mjomba