Judith Moshi Kuzikwa leo 20/06/2013 SOKON ONE ARUSHA.

Judith Moshi Kuzikwa leo 20/06/2013 SOKON ONE ARUSHA.

Status
Not open for further replies.
From Judith' wall page in heaven now;
" tell my people that i love them and they must continue to struggle...my blood will continue to nourish the CDM tree that bears the fruit of Tanzanians' freedom, ALUTA CONTINUA" Peoplesssssss..... and every body should say POWER!

RIP JUDITH M.
 
hii ni sehemu muruwa kabisa !sasa tuone kama watafyatua mabomu yao pale karibu na hospitali,polisi,TRA,UN,East Africa,migration,.....hili eneo ni very strategic.
nashauri waombolezaji wavae nguo nyeupe na kushika matawi ya miti.
police watakuwa hapo mapema kuzuia mtu yoyote kuingia ndani kuaga mwili.
 
mkuu karibu jamii forums naomba usome kitabu kinaitwa logic thinking and resoning kitakusaidia sana kujenga hoja.kiukweli hapa hatujadili kabila ila tunajadili jinsi ya kumlaza mwenzetu mahali pema peponi.
Join Date : 18th June 2013
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given
Tatizo hapa ni hawa watoto wa Kichaga kwa sababu ya tamaa zao za pesa wakizani kuwa Chadema itawafanya kuwa Matajiri kuweni makini haya maisha mafupi siku hizi nyinyi kazi yenu ni kutolewa sadaka za Kifreemason na hao Makamanda wenu mtakwisha kwa tamaa zenu eti mbowe mbowe na Lema mbona hawa waeki ndugu zao na shemeji zao nyie mazumbukuku mtakwisha wacha tamaaaa..........
 
Muda huu wakati watu wengine wakiwa maeneo ya mortuary Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wanaelekea polisi na jopo la wanasheria wao na wanachama kwenda kujua polisi wanawatakia nini.
 
Pinda si alitutangazia kwamba marehemu wote kuzikwa na serikali kulikoni tena kakimbia kabla ya mazishi na leo yupo bungeni anasema mkongoto ruksaaaa kwa yeyote atakayekaidi amri ya gesi -- aisee
 
Muda huu wakati watu wengine wakiwa maeneo ya mortuary Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wanaelekea polisi na jopo la wanasheria wao na wanachama kwenda kujua polisi wanawatakia nini.
Arushaone nakuaminia.Pole kamanda kwa kazi ngumu.Serikali ya CCM wamefika mwisho wa kufikiri,Mh PM(Pinda) leo katangaza polisi kubonda raia.
 
Msafara ndio umetoka mortuary, barabara ya Afrika Mashariki imefungwa na umati wa watu. Mamia ya pikipiki ndizo zinaongoza msafara, gari kubwa la matangazo linapiga nyimbo za maombolezo. Hali ni ya huzuni na kuna utulivu wa kutosha.
 
Naam, msafara baada ya kupita barabara ya Afrika Mashariki ulipita mbele ya ofisi ya mkuu wa mkoa, then mbele ya ofisi za manispaa then Boma road na muda huu unapita barabara ya Sokoine (zamani UHURU ROAD) , msafara ni mrefu sana, ni hali ya huzuni.
 
Mungi na Crashwise na makamanda wengine endeleeni na msafara mimi nimerudi huku Police Central kujua kulikoni kuhusu waheshiwa Mbowe na Lema. Nitawajulisha.
 
Last edited by a moderator:
Rest In Peace Judith, we shall meet in that beautiful land where there will be no more sorrows, no pains and no parting!!!!!!
 
hakika damu yako mama haita mwagika bure,tangulia mbele ya haki maana udhalimu huu una mwisho.
CCM DAIMA IWE ALAMA YA LAANA NA CHUKI KWA YEYOTE ANAPENDA AMANI DUNIANI
 
kila chozi la mpenda haki hakika halitaenda bure, gharama yake ni ukombozi kwa nchi yetu.
R.I.P JUDITH.
 
Nyerere - Tulimzika
Karume - Tulimzika
Kawawa - Tulimzika
Kambona - Tulimzika
Chifupa - Tulimzika
Mtema - Tulimzika
Judith - Tunamzika

Hata wewe unayesoma hii post na mimi ninayeiandika, kuna siku tutazikwa.
Hata yule aliyerusha bomu kuna siku atazikwa
Hata huyo aliyemtuma kuna siku atazikwa

Njia ndiyo hiyo hiyo, hakuna atakayekwepa. Wapo maelfu ambao hawakwenda kwenye mikutano ya CDM lakini sasa hivi wanazikwa. Wapo maelfu walioenda kwenye mikutano ya CDM lakini sasa hivi wapo hai...
 
Tatizo hapa ni hawa watoto wa Kichaga kwa sababu ya tamaa zao za pesa wakizani kuwa Chadema itawafanya kuwa Matajiri kuweni makini haya maisha mafupi siku hizi nyinyi kazi yenu ni kutolewa sadaka za Kifreemason na hao Makamanda wenu mtakwisha kwa tamaa zenu eti mbowe mbowe na Lema mbona hawa waeki ndugu zao na shemeji zao nyie mazumbukuku mtakwisha wacha tamaaaa..........

Sawa... Wewe hutakufa, utaishi milele....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom