Which war???............R.I.P ma'am judith....too bad your killers are using your death for political gains.........Rest in peace Judith, you have fought the war and fought it well, you will be remembered always in our hearts
Hebu fungueni macho Dar mpaka kigoma shwariiiiTatizo hapa ni hawa watoto wa Kichaga kwa sababu ya tamaa zao za pesa wakizani kuwa Chadema itawafanya kuwa Matajiri kuweni makini haya maisha mafupi siku hizi nyinyi kazi yenu ni kutolewa sadaka za Kifreemason na hao Makamanda wenu mtakwisha kwa tamaa zenu eti mbowe mbowe na Lema mbona hawa waeki ndugu zao na shemeji zao nyie mazumbukuku mtakwisha wacha tamaaaa..........
Nyani wa meruTatizo hapa ni hawa watoto wa Kichaga kwa sababu ya tamaa zao za pesa wakizani kuwa Chadema itawafanya kuwa Matajiri kuweni makini haya maisha mafupi siku hizi nyinyi kazi yenu ni kutolewa sadaka za Kifreemason na hao Makamanda wenu mtakwisha kwa tamaa zenu eti mbowe mbowe na Lema mbona hawa waeki ndugu zao na shemeji zao nyie mazumbukuku mtakwisha wacha tamaaaa..........
Judith,
Nina imani usingizi uliolala huwezi tena kuamka.Nilipoangalia video ya tukio lililoondoa uhai leo na juhudi za wenzio kukuamsha japo uuone mwanga wa ulimwengu huu kwa mara ya mwisho,hukufanya hivyo.Nimeshuhudia tu kufumba kwa macho yako meno kushikana na kinywa kufumba.Kwangu mimi nina imani kubwa na matendo haya mawili.
Kinywa kinafumba kwa sababu yale uliyopaswa kuyasema uliyasema lakini hawakusikia,na macho yamefumba kwa sababu uliyoyasema na kuyapigania hukuona mabadiliko,ni matokeo hayohayo ya uovu,ufisadi na uzandiki ambayo yamekulaza chini.
Ninayo imani,umeshakutana na Mungu wa kweli mwenye kuumba,pengine huko uliko unayaona yanayotendeka katika nchi hii kwa uwazi zaidi.Mwambie Mungu ya kuwa ni wengi tunatamani kuja kwake lakini kwa matakwa yake,mweleze bila kificho ya kuwa kama atatuchukua kwake kwa njia uliyoenda pengine tutakuwa tunastahili hukumu isiyo yetu.Tuombee japo atupe miaka michache ili ukombozi wa taifa hili uonekane.Mwisho umwambie tunakushukuru kwa zawadi aliyotupa kwa muda ambayo ni WEWE.Mwambie kamwe kuzaliwa na kuondoka kwako kurudi kwake siyo kwa bahati mbaya.
Mwambie kabisa ya kuwa,dalili za ukombozi zinaonekana dhahiri,toa hesabu ya matendo yako na ueleze upepo unavyovyuma kutoka Mtwara mpaka Arusha ni dalili za kitu kamili.Mwambie kusini na Kaskazini watu wako hawaangamii tena kwa kukosa maarifa.
Mwambie kabisa,wanakushukuru na kuzipigania kwa nguvu raslimali na tunu za taifa hili.
Mwisho msihi sana Bwana Mungu wa majeshi ya kwamba,asisimame tena mbali na sisi,joka linataka kutumeza,msaada wake kwa wakati huu ni wa muhimu sana.
Kwaheri dada Judith,ulale usingizi wa amani!
Tatizo hapa ni hawa watoto wa Kichaga kwa sababu ya tamaa zao za pesa wakizani kuwa Chadema itawafanya kuwa Matajiri kuweni makini haya maisha mafupi siku hizi nyinyi kazi yenu ni kutolewa sadaka za Kifreemason na hao Makamanda wenu mtakwisha kwa tamaa zenu eti mbowe mbowe na Lema mbona hawa waeki ndugu zao na shemeji zao nyie mazumbukuku mtakwisha wacha tamaaaa..........
...Pole sana Ablessed Mungu na Watanzania wote kutowa Mashetani Tuko pamoja nawe......Nimejikuta nalia tu. Rest in peace honey Mungu atakulipia tu, walaaniwe wote waliohusika na mauaji yale damu yako Judith iendelee kudai haki yako mbele za Bwana. Mungu awatie nguvu wapendwa wako wote uliowaaacha nyuma. Nashindwa kuendelea kuandika it is paining Lord why. Why now oh Lord, the family needs her the most. R.I.P Judith.
. . . . Na watu wote waseme amina!
Tatizo hapa ni hawa watoto wa Kichaga kwa sababu ya tamaa zao za pesa wakizani kuwa Chadema itawafanya kuwa Matajiri kuweni makini haya maisha mafupi siku hizi nyinyi kazi yenu ni kutolewa sadaka za Kifreemason na hao Makamanda wenu mtakwisha kwa tamaa zenu eti mbowe mbowe na Lema mbona hawa waeki ndugu zao na shemeji zao nyie mazumbukuku mtakwisha wacha tamaaaa..........