Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
- Thread starter
- #21
Jamaa alikuwa msumari wa Moto dhidi ya Serikali ya mwalimu.
Una gubu wewe si bureYote hayo yanatusaidia nini kwa sasa Iitapwa au umemkumbuka tu Judge Mwalusanya na kulazimisha tuijue familia yake na watoto wake,
Sifa yake Kuu alizingatia misingi ya Haki na weledi. Hakuyumbishwa na wanasiasa na watawalaAliifanya nini serikali ya Mwalimu?
Nilidhani kuna jipya kumbe ni kaseti ya zamaniUlikuwa unayasoma ili iweje?
mkuu TUACHIE SISI TUNAE UJUA UMUHIMU WA JAJI J.L. MWALUSANYA R.I.PNilidhani kuna jipya kumbe ni kaseti ya zamani
Hii ndio ile kesi iliyoleta haki ya dhamana ambayo PROF.MGONGOFIMBO alijifanya yeye ndio mlalamikaji baada ya PETE mwenyewe kesi yake ya msingi kuisha na maombi yake ya kikatiba ya dhamana yakiwa hayajasikilizwa sasa alivyoitwa kuja kupambana akakataa na ndipo FIMBO akajitokeza kama rafiki wa mahakama ( AMICUS CURIE) na akashinda maombi hayo.
mkuu nilipo na vilipo ni mbali ila nitajitahidi kufanya hivyoNZURI PESA waweza viorodhesha hivyo vitabu vya Jaji Mwalusanya hapa jamvini ili tuweze kuvifuatilia?
haina muda huoSerikali yetu imkumbuke.
Huyu aliondoka na mahakama. Lugakingira, Katiti, Mroso, Kyando baada yao basiHuyu alikuwa anatoa kesi hukumu yake kama anafundisha vile. Usipoelewa hukumu za huyu jamaa bora uachane ma mambo ya sheria. Hata Mahakama ya rufaa walikuwa wanapata tabu kupindua hukumu za huyu jamaa. alikuwa akisimamia haki, tena hata kama ni against serikali. Aliipiga chini serikali mara nyingi sana. So sad mahakama na serikali kwa ujumla wakamtupa mkono, hawakumpromote na alipostaafu hadi kufa alitelekezwa. Atabaki legend kwenye mahakama ya tanzania na hadi leo hakuna jaji aliyemfikia. RIP.
Laurance v Government of Zanzibar (Criminal Appeal No. 17 of 2002) [2003] TZCA 3 (31 October 2003)
Carbood alipokuwa rafiki wa mahakama akaamua kuichinjia mbali hoja ya MGOMBEA BINAFS,leo ndo naelewa why aliichinjia mbali,kumbe mgombea binafs hana maslah na chama chake pendwa ambacho leo anakitumikiaHii ndio ile kesi iliyoleta haki ya dhamana ambayo PROF.MGONGOFIMBO alijifanya yeye ndio mlalamikaji baada ya PETE mwenyewe kesi yake ya msingi kuisha na maombi yake ya kikatiba ya dhamana yakiwa hayajasikilizwa sasa alivyoitwa kuja kupambana akakataa na ndipo FIMBO akajitokeza kama rafiki wa mahakama ( AMICUS CURIE) na akashinda maombi hayo.