Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,227
- 157,421
Huyu alikuwa anatoa kesi hukumu yake kama anafundisha vile. Usipoelewa hukumu za huyu jamaa bora uachane ma mambo ya sheria. Hata Mahakama ya rufaa walikuwa wanapata tabu kupindua hukumu za huyu jamaa. alikuwa akisimamia haki, tena hata kama ni against serikali. Aliipiga chini serikali mara nyingi sana. So sad mahakama na serikali kwa ujumla wakamtupa mkono, hawakumpromote na alipostaafu hadi kufa alitelekezwa. Atabaki legend kwenye mahakama ya tanzania na hadi leo hakuna jaji aliyemfikia. RIP.
Laurance v Government of Zanzibar (Criminal Appeal No. 17 of 2002) [2003] TZCA 3 (31 October 2003)
Laurance v Government of Zanzibar (Criminal Appeal No. 17 of 2002) [2003] TZCA 3 (31 October 2003)