Jua linalotumulika ni dogo kama mchanga

Jua linalotumulika ni dogo kama mchanga

Jua ni kubwa kuliko sayari zote kwenye sokar system. Lakini je kwenye Milkway Galaxy kuna solar system ngapi??? Pia je kuna galaxy ngapi katika Universe??? There is millions of Galaxy in this universe.
Je katika hizo solar system na na Galaxy je ni dunia tu iliyokusanya viumbe hai pekee jibu No. Kuna uwezekano 1150% kua na viumbe wengine waishio..Creator hawezi tengeneza those millions of Solar system n Planets for nothing.
Hapo ndio utaona sala ya "Mwana kondoo uondoae dhambi za ulimwengu/Universe utuhurumie" ina make sense
Surely we know only a handful of things...
 
Huu uzi uko complex mpaka watu wanapita kama hawaoni ila ungeandika umbea au kusifu na kuabudu...
.
 
ALLAAH AKIBAR...

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app

“Enyi jamii ya majini na watu! Kama mkiweza kupita kwenye kando za mbingu na ardhi, basi piteni! Hamtapita ila kwa uwezo (sultaan)." (55:33)

Sultaan ni uwezo na nguvu. Mambo ya ulimwengu hayako ovyoovyo tu, kiasi ambacho mtu anaweza kujifanyia vile anavyotaka tu! Bali ulimwengu umeumbwa kulingana na nguvu na kanuni zake mahsusi, hivyo, ni lazima tunufaike kutokana na kanuni zake maalum.
 
Ulimwengu wa anga ni mkubwa sana,mpaka sio maajabu ni miujiza iliyopo huko angani hata ukisimuliwa unaweza kuona kipo nje na uwezo wako.

Kila binadamu hana tambua jua ni kubwa kuliko sayari zote zinazozunga huku tukitambua jua ni nyota inayotuwakilisha na sayari zetu.

View attachment 1644641

Uvumbuzi wa kutafuta kilicho nje ya anga kunazidi kupata nyota nyengine ambazo upelekea kulinganisha nyota fulani na fulani kwa ukubwa mfano sayari kwa sayari,jua kwa jua.

Rekodi iliyokuwa ina fahamika kuwa nyota kubwa ilikuwa UY scuti.

View attachment 1644642

Utafiti mwengine umekuja kutambua kuna nyota kubwa kwa jina stephenson 2-18 ambayo imeipita sayari ya UY scuti .
View attachment 1644644

Stephenson 2-18
Sayari hii inajulikana kama stephenson 2 DF1 au RSGC2-18.

Ukubwa wa eneo lake sawa tuzidishe 2150 x kwa jua letu kupata ukubwa wake (1.495 billion 928 millioni mi) ambapo jua letu Ukubwa wa eneo: 6.09×(10x12 )km2; 12,000 × Dunia.
Dunia ukubwa wake sio mgeni ukitafuta.
[emoji23] jamani tukiweka sifuri zitakuwa nyingi hapo !

Umbali wa stephenson kufikia unachukua kufika kutoka tulipo kwenye jua mpaka hapo sawa na 19560 light years
Mambo ya anga kupima umbali ufikia idadi ya sifuri kuwa nyingi ndipo ubadilishwa kuwa mfano wa spidi ya mwanga kwa mwakaView attachment 1644649
Hesabu hiyo.

Mwangaza wake unakadiliwa kuwa na kipimo cha jua ziwe 440,000 x mwanga .yani tukusanye jua kama letu liwe hiyo idadi tuzidishe mwanga
Mwanga wa jua kiwango chake ni 3.83×(10x26)Watts.

Majua yawe(440,000) x mwanga 3.83x(10x26)watts.
Kwa mwanga huo hata sayari ya pluto tunayo sema hipo mwisho ingekuwa na kiwango cha joto kama jua.
Joto lilopo linakadiliwa kwa umbali sio kufika degree 2900c

Wanazengo tujadili



Mungu yupo na ndiye aliyeyafanya mambo yote hayo.

Allah akbar wa alhamdulillah kathira wa subhanallah.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Umelewa vzuri .umbali ulipo sio ukaribu uliopo na dunia
Majua yawe(440,000) x mwanga 3.83x(10x26)watts.
Kwa mwanga huo hata sayari ya pluto tunayo sema hipo mwisho ingekuwa na kiwango cha joto kama jua.
Joto lilopo linakadiliwa kwa umbali sio kufika degree 2900c

Wanazengo tujadili

mengi ya hao yote ni UONGO mm nilitembelea shule ya mwanagu darasa la IV Primary nikakuta Planet ya Pluto imefutwa katika Sylabus za masomo Tanzania nikaja ju km wewe ulivyoandika
Nikatulizwa na walimu tena vijana kuwa ni Dwaft na haipo
kwa hiyo nimebaki naamini hawa wacnguguzi wa anga ni waongo amini Jua ni kubwa tutaenda sawa

Is Pluto a planet again 2020?
How was Pluto destroyed?
It is hard to tell if it is actually orbiting the sun. FYI: Pluto is not destroyed, it is no longer considered a planet as per the definitions of astronomy, and now it comes under the category of "Dwarf Planet". Actually, the farthest planet of the solar system Pluto has neither died nor has been destroyed.Mar 22, 2013 Pluto - Пошук Google
 
mengi ya hao yote ni UONGO mm nilitembelea shule ya mwanagu darasa la IV Primary nikakuta Planet ya Pluto imefutwa katika Sylabus za masomo Tanzania nikaja ju km wewe ulivyoandika
Nikatulizwa na walimu tena vijana kuwa ni Dwaft na haipo
kwa hiyo nimebaki naamini hawa wacnguguzi wa anga ni waongo amini Jua ni kubwa tutaenda sawa

Internet umepata vipi
 
Yote ambayo wanadamu wameweza kugundua angani ni sehemu ndogo sana ya anga, yaani observable universe...sehemu kubwa saaana ya ulimwengu bado iko gizani na hatujui nini kipo huko...maana teknolojia yetu haifiki huko.

Lakini kwa hii observable universe tu, ambayo ni kama fraction tu ya universe...kumegunduliwa uwepo wa galaxies mabilioni ya mabilioni....

Beyond the observable universe lies billions of billions of galaxies awaiting our discovery..

Hizo nyota kama VY Canis Majoris au UY Scuti zenye ukubwa ambao ni ngumu kwa akili zetu kuelewa....zinathibitisha ukuu wa Mungu muumbaji..

Kila kitu kiko carefully planned, visingiweza kutokea kwa bahati halafi vijipange kwa mpangilio sahihi namna hii bila kuhitilafiana.
 
Sasa haya magunduzi yote hayajang'amua kuwa Kuna maisha mengine huko nje ya sayari ya Dunia???
 
Kwenye hii milkyway kuna Solar system moja[emoji5]

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe mjuaji mkuu...naona unapinga pinga kila kitu hata kama wanakosea vtu vidogo vdogo usiwe mjuaji kila kitu ...ukishamwelewa mtu mantik yake unatulia.akikosea kidogo ndo kama hvyo sasa unapinga pinga kila kitu ili tukuone unajua sana au?...
 
Binadamu tuna mengi ya ujifunza na tuna mengi ambayo hatuyajui. Chini ya bahari tu hapa hapa duniani ni 30% iliyokuwa mapped sehemu nyingine haziajawa mapped. Yani ni ngumu kuchunguza bahari kuliko anga
Hyo ya ugumu kuchunguza bahar kuliko anga si kwel mkuu.
 
Back
Top Bottom