Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,446
- 32,100
Ni kweli kwa teknolojia iliyopo sasaHyo ya ugumu kuchunguza bahar kuliko anga si kwel mkuu.
Ni kweli kwa teknolojia iliyopo sasaHyo ya ugumu kuchunguza bahar kuliko anga si kwel mkuu.
Na hapo ndo unakuja gundua kuwa kama kwel Mungu huyu huyu tunaehubiriwa kila siku ndiye kafanya hayo yote bas kuna mengi sana tunadanganywa kuhusu huyu Mungu..yaan ukwel ni mchache sana...kwa smartness yake huyo Mungu kusema et sjui ..mungu ana wivu au et sjui anatuadhibu tukifanya hik ama kile..au kusema sjui mungu anaishi namna hii namna ile au kusema et sjuu mungu akizin ata kudmjudge na kukuadhibu.sjui ukiiba utaganywa hiv. etc etc. ...Mungu huyo aliyefanya hayo yote ,,hes too smart and busy ku deak ba cheap stuffs kama hzi tunazohubiriwa kila siku. Hez beyond thatYote ambayo wanadamu wameweza kugundua angani ni sehemu ndogo sana ya anga, yaani observable universe...sehemu kubwa saaana ya ulimwengu bado iko gizani na hatujui nini kipo huko...maana teknolojia yetu haifiki huko.
Lakini kwa hii observable universe tu, ambayo ni kama fraction tu ya universe...kumegunduliwa uwepo wa galaxies mabilioni ya mabilioni....
Beyond the observable universe lies billions of billions of galaxies awaiting our discovery..
Hizo nyota kama VY Canis Majoris au UY Scuti zenye ukubwa ambao ni ngumu kwa akili zetu kuelewa....zinathibitisha ukuu wa Mungu muumbaji..
Kila kitu kiko carefully planned, visingiweza kutokea kwa bahati halafi vijipange kwa mpangilio sahihi namna hii bila kuhitilafiana.
Punguza ujuaji unafananishaje Anga na BahariHyo ya ugumu kuchunguza bahar kuliko anga si kwel mkuu.
wewe kwa uelewa wako unaona hapo 'nimepinga nini?'Usiwe mjuaji mkuu...naona unapinga pinga kila kitu hata kama wanakosea vtu vidogo vdogo usiwe mjuaji kila kitu ...ukishamwelewa mtu mantik yake unatulia.akikosea kidogo ndo kama hvyo sasa unapinga pinga kila kitu ili tukuone unajua sana au?...