chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,718
Ulimwengu wa anga ni mkubwa sana,mpaka sio maajabu ni miujiza iliyopo huko angani hata ukisimuliwa unaweza kuona kipo nje na uwezo wako.
Kila binadamu hana tambua jua ni kubwa kuliko sayari zote zinazozunga huku tukitambua jua ni nyota inayotuwakilisha na sayari zetu.
Uvumbuzi wa kutafuta kilicho nje ya anga kunazidi kupata nyota nyengine ambazo upelekea kulinganisha nyota fulani na fulani kwa ukubwa mfano sayari kwa sayari,jua kwa jua.
Rekodi iliyokuwa ina fahamika kuwa nyota kubwa ilikuwa UY scuti.
Utafiti mwengine umekuja kutambua kuna nyota kubwa kwa jina stephenson 2-18 ambayo imeipita sayari ya UY scuti .
Stephenson 2-18
Sayari hii inajulikana kama stephenson 2 DF1 au RSGC2-18.
Ukubwa wa eneo lake sawa tuzidishe 2150 x kwa jua letu kupata ukubwa wake (1.495 billion 928 millioni mi) ambapo jua letu Ukubwa wa eneo: 6.09×(10x12 )km2; 12,000 × Dunia.
Dunia ukubwa wake sio mgeni ukitafuta.
jamani tukiweka sifuri zitakuwa nyingi hapo !
Umbali wa stephenson kufikia unachukua kufika kutoka tulipo kwenye jua mpaka hapo sawa na 19560 light years
Mambo ya anga kupima umbali ufikia idadi ya sifuri kuwa nyingi ndipo ubadilishwa kuwa mfano wa spidi ya mwanga kwa mwaka
Hesabu hiyo.
Mwangaza wake unakadiliwa kuwa na kipimo cha jua ziwe 440,000 x mwanga .yani tukusanye jua kama letu liwe hiyo idadi tuzidishe mwanga
Mwanga wa jua kiwango chake ni 3.83×(10x26)Watts.
Majua yawe(440,000) x mwanga 3.83x(10x26)watts.
Kwa mwanga huo hata sayari ya pluto tunayo sema hipo mwisho ingekuwa na kiwango cha joto kama jua.
Joto lilopo linakadiliwa kwa umbali sio kufika degree 2900c
Wanazengo tujadili