SPRING 💐💐💐💐💐Kwema!
Joto la leo likanifanya niikumbuke Jiographia ya Kidato cha Kwanza.
Leo na kesho Tarehe 20 na 21 March Jua litakuwa Ikweta baada ya kuingia katika kizio cha Kusini(southern hemisphere) Tropical of Capricorn tangu mwaka Jana September lilipokuwa pia Ikweta.
Hii Id yako imenikumbusha mbali sana kwa jamaa zangu kina Obasi na kina Kadungula daah mchele wa kumwaga kule ila usafiri enzi zile ndio kimbembe.Nonesense kabisa juha tu wewe
Nonesense=nonsenseNonesense kabisa juha tu wewe
Maisha haya, acha tu! Enzi hizo unakariri haswa. Sasa hivi hii elimu hata sijawahi kuitumia kwenye taaluma yangu ya kazi🤔Kwema!
Joto la leo likanifanya niikumbuke Jiographia ya Kidato cha Kwanza.
Leo na kesho Tarehe 20 na 21 March Jua litakuwa Ikweta baada ya kuingia katika kizio cha Kusini(southern hemisphere) Tropical of Capricorn tangu mwaka Jana September lilipokuwa pia Ikweta.
Hivyo ni kusema jua limetoke Kusini na hivi leo na kesho litakuwa Ikweta likiigawanya Dunia katika mapande mawili yaloyolingana. Kumaanisha Usiku
Kumbe jua ndiyo linaizunguka dunia?Jifunze dogo Acha ukaidi
Huku sisi tunaona Masika yanaisha isha....wewe unatwambia yanaanza... kweli kusoma sana huuchosha mwiliKwema!
Joto la leo likanifanya niikumbuke Jiographia ya Kidato cha Kwanza.
Leo na kesho Tarehe 20 na 21 March Jua litakuwa Ikweta baada ya kuingia katika kizio cha Kusini(southern hemisphere) Tropical of Capricorn tangu mwaka Jana September lilipokuwa pia Ikweta.
Hivyo ni kusema jua limetoke Kusini na hivi leo na kesho litakuwa Ikweta likiigawanya Dunia katika mapande mawili yaloyolingana. Kumaanisha Usiku na mchana kutakuwa Sawa na hii wanajiografia wanaiita EQUINOX Yaani usiku na mchana kulingana.
Kumaanisha kuanzia tarehe 22 masika umeanza, mvua katika baadhi ya Maeneo zitaanza kunyesha hasa kwenye wiki ya mwandamo wa mwezi katika siku kumi mpaka kumi na tano zijazo.
Huku sisi tunaona Masika yanaisha isha....wewe unatwambia yanaanza... kweli kusoma sana huuchosha mwili
Kumbe jua ndiyo linaizunguka dunia?
Basi hizo terminology O level zinasumbua mno, asante leo nimezielewa kwa dakika chache tu
Mkuu uko vzr Sana Jana mkoan Lindi mvua kubwa Sana Imenyesha Asante Sana btw umenigusa kwenye field yangu..now tunakwenda kupima high flow mmbemkuru,lukuledi na RUVUMA so mkuu wa kitengo aandae dokezo watu twende site
Maisha haya, acha tu! Enzi hizo unakariri haswa. Sasa hivi hii elimu hata sijawahi kuitumia kwenye taaluma yangu ya kazi🤔
Hivi jua linajongea ?
Joto la usiku wa kuamkia leo jumatatu lilikuwa taabu tupuu
meamka kunywa majii mara 2 wapii, nkabaki kuzunguka ndani adi asubuhii
kwa msimu huu wa joto mnashauriwa mle vyakula vizivyokuwa na chumviii kabsaaaa