Jua athari za jina lako katika mapenzi

Jua athari za jina lako katika mapenzi

Sasa je kama lake linaanza na erufi za mwanzo mwanzo na langu za katikati
 
Sasa je kama lake linaanza na erufi za mwanzo mwanzo na langu za katikati ni nani atampenda mwenzie zaidi mimi au yeye
 
Sasa je kama lake linaanza na erufi za mwanzo mwanzo na langu za katikati ni nani atampenda mwenzie zaidi mimi au yeye
hapo mkuu usimuache huyo anakufa na mtadumu
 
sasa mbona mimi na wife majina yetu yanaanza na S kwahyo tutaachana?
 
Naomba nikupinge kwa herufi kubwa...
Utafiti/utabiri wako kwangu una matokeo tofauti. Jina langu limeanzia M na la mpenzi wangu limeanzia J lkn huu ni mwaka wa nane.
Pia niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke jina lake limeanzia D, hatukuweza kudumu hata mwaka.
 
na nilkua na dem jina lake linaanza na A na mimi S hata week hatujafika tuliachana
 
Jina lipi nitumie la kwenye cheti cha shule, cha ubatizo,la nyumbani kwetu, lile ninaloitwa mtaani ,nililopewa na babu au nililojipa mwenyewe ukubwani

Yaan uyu jamaa ua bogus kabisa
 
ulilopew wakat unazaliwa
Baba alinipa lake ,na mama alinipa lake,ingawa yote siyatumii labda nikikutana nao ndio wananiita ila linalovuma ni lile la shule.VP nitumie lipi hapo
 
Kwendaaa liongo likubwa....mbona tuliepishana hiyo nane hatujadumu ?
 
Naomba nikupinge kwa herufi kubwa...
Utafiti/utabiri wako kwangu una matokeo tofauti. Jina langu limeanzia M na la mpenzi wangu limeanzia J lkn huu ni mwaka wa nane.
Pia niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke jina lake limeanzia D, hatukuweza kudumu hata mwaka.
ukweli pinga au kata ni kwamba huyo wa d mlieachana wewe ndo ulikuwa chanzo,na huyo j uliyempata japo mmedumu kwa miaka yote ila hata ukimuoa hamta dumu kwani anamengi mabaya tofauti na d,uliyeachana nae
 
habarini ndugu wanajamii forum,leo ningependa niwaletee kitu kipya ambacho wengi hawakifahamu katka mapenzi,
ni kuhusu nguvu ya majina yani lako na la mpenzio,believe me tofauti ya mwendano wa majina imekuwa sbabu ya watu wengi kuachwa mara kwa mara na hata ndoa kuvunjika kila siku,ni hivi ikiwa umempata mchumba mpya hakikisha kwamba majina yenu yametofautiana kuanzia herufi nane na kuendelea
ngoja niwaeleweshe hope hamjaelewa
ni kwamba kuna alphabet A mpka Z
kila herufi ipe namba a ipe 1,b2,c3na kuendelea
sasa kama unampenzi angalia heruf yke ya kwanza na yko hakikisha zmetofautian kwa namba nane kam sivyo jua hamtadumu

Sawa, ili tukuelewe naomba tufafanulie jinsi gani tofauti ya hizo namba zinaweza sababisha kuachana kwa wapenzi. Tupe uthibitisho kisayansi, kiroho, kimwili au hata kifisikia ukiweza.
 
Back
Top Bottom