Jua athari za jina lako katika mapenzi

Jua athari za jina lako katika mapenzi

Sawa, ili tukuelewe naomba tufafanulie jinsi gani tofauti ya hizo namba zinaweza sababisha kuachana kwa wapenzi. Tupe uthibitisho kisayansi, kiroho, kimwili au hata kifisikia ukiweza.
hii ni elimu ya siri sana ambayo,inatumiwa na watu wachache sana hata katka masuala ya biashara mfano mzuri hata wewe mwenyewe chukua watu wwili then jipime yupi mnaelewana wana san alafu angalia heruf zenu utakuta yule mnae elewana sana au kupendana mpo mbali kiherufi tofauti na huyo mnaepndana na kuelewana
 
Naomba nikupinge kwa herufi kubwa...
Utafiti/utabiri wako kwangu una matokeo tofauti. Jina langu limeanzia M na la mpenzi wangu limeanzia J lkn huu ni mwaka wa nane.
Pia niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke jina lake limeanzia D, hatukuweza kudumu hata mwaka.
Sasa miaka nane ndo kudumu? Yawezekana leo jioni unapewa kibuti na kama si kibuti utachapiwa!
 
...Asante mkuu,nishapata sababu. Sitodumu nae,ngoja nikamuache mapema.
 
Mimi nilikuwa na mpenzi wangu jina lake linaanzia Z na la kwangu linaanzia M mbona hatukudumu?

Ufafanuzi wakitaalamu tafadhali, kwani hii ni elimu kama ulivyo sema, hivyo ni vyema majibu yako yawe ya kielimu pia.
 
Sasa miaka nane ndo kudumu? Yawezekana leo jioni unapewa kibuti na kama si kibuti utachapiwa!
Kaka wewe kiboko... Unajua kudumu kwenye uhusiano/ndoa ni tofauti na kuchapiwa? Unakuta ndoa ina miaka 25-30 lkn kama wenyewe wakiongea ukweli ni kwamba utakuta wote kwa kwa nyakati tofauti wamewahi ku cheat...
Sasa point yako sijui ni ipi, kuchapiwa/cheat au kudumu kwenye mahusiano/ndoa?
 
habarini ndugu wanajamii forum,leo ningependa niwaletee kitu kipya ambacho wengi hawakifahamu katka mapenzi,
ni kuhusu nguvu ya majina yani lako na la mpenzio,believe me tofauti ya mwendano wa majina imekuwa sbabu ya watu wengi kuachwa mara kwa mara na hata ndoa kuvunjika kila siku,ni hivi ikiwa umempata mchumba mpya hakikisha kwamba majina yenu yametofautiana kuanzia herufi nane na kuendelea
ngoja niwaeleweshe hope hamjaelewa
ni kwamba kuna alphabet A mpka Z
kila herufi ipe namba a ipe 1,b2,c3na kuendelea
sasa kama unampenzi angalia heruf yke ya kwanza na yko hakikisha zmetofautian kwa namba nane kam sivyo jua hamtadumu
Mmmmmh....kwahiyo unataka kusema baba wa taifa letu na mkewe walikuwa na tofauti ya 8 kwenye herufi za majina yao? Mifano mingine ni mmiliki wa facebook, mzee Mkapa n.k
 
Back
Top Bottom