JPM Tunaomba uturudishie ATC yetu ya 1977 na Twiga wetu!

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
675
H.E JPM,

Turejeshee 1977 wakati shirika letu adhimu lilipokuwa nuru na mwanga wa Africa ...turudishie fahari yetu ikiwa na menejimenti yenye weredi na upiganaji [patriotic] kuliongoza shirika letu la ndege. Napendekeza 'Branding" yetu irudi kama inavyoonekana hapa chini:-

historic02_1.jpg


220px-Air_Tanzania_F27-600_5H-MPT_MBA_1986-4-10.png


is



na kamwe si hivi:

220px-Songwe_Airport.jpg
 
Dah nilipanda air Tanzania mwaka 1993 toka mwanza to dar Ndio ilikuwa mara ya mwisho kupanda ndege hizo
 
ENDELEA TU KUZUNGUSHA MIKONO NDIO JUKUMU LENU NYIE MITEAM MAKENGEZA.
hii haihusiani chochote na team za kipumbavu mnazodhani mnasupport, haihusiani na siasa bali ni fact kuwa mibongo haibebeki. ukilipa jitu madaraka linabadilika kuwa fisadi. sasa kama makengeza au chongo unajua wewe.
 
Unanikumbusha nikiwa nursery school wakat nahitimu kwenda darasa la kwanza tulipelekwa Airport tukapanda AirTanzania baada ya dk 10 tukashushwa nakudanganywa kua tumeenda ad Zanzibar tukarudi dah"

Magufuli irudishe ATc fahari yetu.
 
MITEAM KENGEZA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Wewe endelea tu kuuza tshrts, pazia, bendera Na Mashuka ya Chama hapo Lumumba! Jamaa akishakua mwenyekiti Biashara zote zitaisha hapo! Atataka Kila mtu akaprint hayo maZagazaga kulingana Na mahitaji Yake Kwa gharama zake! Mambo ya kulangua Mwisho mwezi wa tano!
 
Back
Top Bottom