JPM ni kweli alisema hivi?

Wewe umetokea sayari gani aisee!
Nimekuwa nikisikia mara kwa mara eti Rais Magufuli alisema kwamba "...... mshahara nikulipe, gari nikupe....... halafu utangaze mpinzani kashinda" - ujumbe huu akiwa amewapa Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa na Miji ambao ni wasimamizi wa uchaguzi. Mimi siamini kama Rais angeweza kutoa tamko kama hili. Lakini kama alilitoa, ilikuwa lini na wapi? Kama ni kweli tuwekeeni ka-clip!
 
Ndio maana wapinzani wameenguliwa kwa spidi ya 5G
 
Back
Top Bottom