JPM ni kweli alisema hivi?

JPM ni kweli alisema hivi?

Nimekuwa nikisikia mara kwa mara eti Rais Magufuli alisema kwamba "...... mshahara nikulipe, gari nikupe....... halafu utangaze mpinzani kashinda" - ujumbe huu akiwa amewapa Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa na Miji ambao ni wasimamizi wa uchaguzi. Mimi siamini kama Rais angeweza kutoa tamko kama hili. Lakini kama alilitoa, ilikuwa lini na wapi? Kama ni kweli tuwekeeni ka-clip!
Wewe unadhani kama angekuwa hajasema, mahakama isingeamua kwa "hasira" kiasi kile kuwapiga chini wakurugenzi wote kusimamia chaguzi zote nchini

Pia kama angekuwa hajatamka maneno hayo tungewaona kurugenzi ya mawasiliano ya Ikulu chap chap inakuja na kukanusha huo "uongo"
 
Alisema kila mtu alimuona na kumsikia wewe sijui ulikuwa wapi!?...watu wanazo clip
 
Nimekuwa nikisikia mara kwa mara eti Rais Magufuli alisema kwamba "...... mshahara nikulipe, gari nikupe....... halafu utangaze mpinzani kashinda" - ujumbe huu akiwa amewapa Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa na Miji ambao ni wasimamizi wa uchaguzi. Mimi siamini kama Rais angeweza kutoa tamko kama hili. Lakini kama alilitoa, ilikuwa lini na wapi? Kama ni kweli tuwekeeni ka-clip!
YouTube
 
Aseme kukuteua nikuteue afu mpinzani ashinde labda sawa,ila mshahara, gari si zake ni kodi zetu.hao awapigi kura ni wananchi!
 
Na mstaafu hakuwa mchangamfu kama kawaida yake nadhani hakupendezwa na kauli ile
ule utani sio mzuri kwa mtu mwenye heshima kama JK, mimi sikuangalia kwenye TV ila sikutegemea JK angefurahi,sasa hapo mkuu itabidi ajifunze utani,alafu ile ni shughuli ya dini,sidhani kama ma sheikh wamefurahia ule uhuni
 
Nitahakikisha mpaka 2020 upinzani umekufa--singida.

Kuna mawaziri wengine ni wapumbavu--tanga

Kuna watumishi wana vichwa vigumu kama kamongo--mbeya
 
Nimekuwa nikisikia mara kwa mara eti Rais Magufuli alisema kwamba "...... mshahara nikulipe, gari nikupe....... halafu utangaze mpinzani kashinda" - ujumbe huu akiwa amewapa Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa na Miji ambao ni wasimamizi wa uchaguzi. Mimi siamini kama Rais angeweza kutoa tamko kama hili. Lakini kama alilitoa, ilikuwa lini na wapi? Kama ni kweli tuwekeeni ka-clip!

Wengine japo ni CCM, tunampenda mno na sana Mwenyekiti Wetu na Rais wetu wa Tanzania Ndugu Dkt. John Pombe Magufuli ila katika ukweli ndiyo huwa hatupepesi macho, hatumung'unyi maneno wala hatutikisi masikio kwenye ama Kuusema au Kuuelezea. Ni kweli Rais aliyasema hayo maneno tena hivyo hivyo kama ulivyoyanukuu na nitashangaa kuona au kumuona mwana CCM anajitokeza na Kupinga wakati alisema tena akiwa ' Mubashara ' kabisa Tv japo sikumbuki tu mwaka gani japo naweza kuhisi kuwa ulikuwa ni mwaka Jana hasa Kipindi kile cha Marudio ya Chaguzi zile Mfululizo za Wabunge. Kwenye Ukweli tuseme Ukweli na tuache kuwa Wanafiki.
 
Nimekuwa nikisikia mara kwa mara eti Rais Magufuli alisema kwamba "...... mshahara nikulipe, gari nikupe....... halafu utangaze mpinzani kashinda" - ujumbe huu akiwa amewapa Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa na Miji ambao ni wasimamizi wa uchaguzi. Mimi siamini kama Rais angeweza kutoa tamko kama hili. Lakini kama alilitoa, ilikuwa lini na wapi? Kama ni kweli tuwekeeni ka-clip!
Google
 
Kaa,mkao wa kula clip tu watakuwekea ila nadhani utadai nyingi sana maana kuna matamko yameishawahi tolewa na huyu mtu shetani aliposikia alitimua mbio''mkimwona mtu anakisima na anawazuia msichote Maji mkamateni mtumbukizeni kwenye kisima.''
🙄🙄😢😢
 
Back
Top Bottom