JPM Mrudishe Magesa Mulongo Mwanza

JPM Mrudishe Magesa Mulongo Mwanza

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,080
Reaction score
12,300
Hili lilikuwa jembe sana, yaani kila asubuhi tulikuwa tunasikia kelele za kutumbuliwa majipu, watu walikuwa wameshika adabu sawasawa, sasa huyu uliyetuletea anashinda ofisini, Jamani turudishieni hili Jembe letu linatufaa sana. Huduma zilikuwa zinaenda mbiombio.
 
Bro acha tuumpe muda kwanza atafute wafanyakazi hewa, kabla ya mwezi5 atoe mikakati yake
 
Leading through threats!
Do you think that is a desired leadership trait?
 
Bro acha tuumpe muda kwanza atafute wafanyakazi hewa, kabla ya mwezi5 atoe mikakati yake
tumsubiri hadi lini wakati sekoture hospital hamna maji
 
Hili lilikuwa jembe sana, yaani kila asubuhi tulikuwa tunasikia kelele za kutumbuliwa majipu, watu walikuwa wameshika adabu sawasawa, sasa huyu uliyetuletea anashinda ofisini, Jamani turudishieni hili Jembe letu linatufaa sana. Huduma zilikuwa zinaenda mbiombio.
mpen muda kidg mkuu ndo kwanza amefika
 
Anasoma ramani ya mkoa ajue wapi anaanzia! Tulieni mtamsikia soon! Anatafuta single ya kutoka nayo!
 
Nani anashida na huyo mpiga dili Mulongo? After all hata makabidhiano ya ofisi bado sasa sijui awe anatumbua tu kukufurahisha wewe kabla hata hajaingia rasmi ofisini
 
Back
Top Bottom