JPM aliweza Live!,Je! SSH anaogopa nini?

Akitokea mtu ambaye hakuona utawala wa Magufuli anaweza kuamini hiki kilio chako. Tuliona ukatili na kiburi chake cha madaraka tunajua kabisa hiki ni kilio cha kupoteza fursa baada ya kufiwa na sponsor.
Ukweli unaonekana.kuna watu wa hovyo sana.Ina maana hauoni hali iliyopo? Watanzania wengi ni wajinga sana
 
Kwani Mbunge wa hapa yuko wapi??
 
Rais aliyekuwa hajui kazi yake
Eti kutembea nchi nzima na msafara wa magari 290 na helkopta akisikiliza kesi za wamama kunyang'anywa mali na mashemeji zao ..
Alieuwa Elimu Tanzania ndie alietufanya tuwe vikaragosi tusiojielewa.
Hivi unaposema waliwezeshwa wajasili mali,kwa kiwango kipi na kwa yapi?
 
Akitokea mtu ambaye hakuona utawala wa Magufuli anaweza kuamini hiki kilio chako. Tuliona ukatili na kiburi chake cha madaraka tunajua kabisa hiki ni kilio cha kupoteza fursa baada ya kufiwa na sponsor.
Siasa mchezo mchafu sana.
 
Nchi zenye demokrasia, nyingi ndio zenye huduma Bora. Na mifano ya dhahiri ipo. Labda kama hujui unaongea nini.
Hizo chache zenye udikteta na huduma bora zililikuwepo ni pamoja na Tanzania chini ya JPM.
 
Cheti fake wewe,hata mawazo yako yanaendelea kuwa fake!

Mchango wako uko clear na machungu unayopitia!

Hizi ndio zilikuwa point za kipindi cha magufuli.

Ukiwa ā€œagainst ā€œ unaitwa cheti fake/mpiga dili/muuza unga. Hata kama unalengo zuri.
J
 
Brother ā€œume-panicā€
Kunywa maji.
 
JIWE alikuwa anawadanganya wananchi Eti hakuna Corona
Tembo wamezaliana mara 3 zaidi
ATCL imepata faida
 
najua kuna mazwazwa watakuja kukutukana na kukupinga hao machawa achana nao uliyoyasema ni ukweli mtupu sasa hivi tunaumia sana sana
 
Akitokea mtu ambaye hakuona utawala wa Magufuli anaweza kuamini hiki kilio chako. Tuliona ukatili na kiburi chake cha madaraka tunajua kabisa hiki ni kilio cha kupoteza fursa baada ya kufiwa na sponsor.
Uone nini na wakati ni kipofu?
 
naona jamaa ana hoja hebu tumjibuni hoja zake na tuachane na kauli kama kazikwe nae na mambo ya kuamua ugomvi
 
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…