JPM aliweza Live!,Je! SSH anaogopa nini?

Taja kero 5 alizotatuta kwa wananchi..

SSH anaongea kupitia watendaji wake kuna shida kwani?

Umewahi hudhuria mikutano ya Ziara za Rais ?

Rais akianza kujibu mambo ya vyoi hao wateule wanafanya Kazi gani?

Hadi sasa Rais katatua mamia ya kero kupitia watendaji ikiwemo kugawia watu mashamba,kuwafuta jasho waliofukuzwa Kazi na Mwendazake,kuwapa wakulima mbolea,mamiradi ya maji nk nk..

Kwa mfano wewe una kero gani? Rais Samia hana mda wa maigizo ya kula mahindi au kupewa zawadi za jogoo na wananchi wa Mchongo..

Tafuta wajinga ndio kawaambie hayo.
 
nenda kazikwe naye unamahaba kwake.
Kauli zile zile toka kwa wapumbavu wale wale!

Everything,Every time, Every day is on move accordingly.....

Muda wa mwisho wa upuuzi wenu unasogea kwa kasi ya Radi.
 
Mbona zipo sumu nyingi tu, kunyweni mumfuate huyo dhalim wenu tunachoka kwa huu upuuzi wenu
 
Kwa hiyo Makamba na hao praise RC's ndio huwa wasemaji wa SSH majukwaani ?

Kero alizotatua JPM mojawapo ni hii iliyokusababisha wewe uko kijiweni
Mama yako mwalimu fake yuko kijiweni.
Mkeo mikopo umiza huenda yuko jela hadi saa hii.
Endelea kukonda na kihoro.

Ila mama yenu kufeli ni jambo liko mabegani mwake na linazidi lumuelemea kadri siku zinavyosonga.

Ni bahati hatuoni nywele zake,lakini huenda zimechoka sana kwa mawazo.
 
Rais aliyekuwa hajui kazi yake
Eti kutembea nchi nzima na msafara wa magari 290 na helkopta akisikiliza kesi za wamama kunyang'anywa mali na mashemeji zao ..
Ndio walikuwa mabosi wake na ndio waliomfanya aape kwa katiba kusimamia haki zao.
 
Ndio walikuwa mabosi wake na ndio waliomfanya aape kwa katiba kusimamia haki zao.
Hii nchi ina mifumo ya kutatua matatizo kama hayo, ilikuwa kuimarisha, ukiwa Rais ambaye hujitambui utaishia kufanya kazi za mwenyekiti wa kijiji
 
Hii nchi ina mifumo ya kutatua matatizo kama hayo, ilikuwa kuimarisha, ukiwa Rais ambaye hujitambui utaishia kufanya kazi za mwenyekiti wa kijiji
Mfumo ule ndio sahihi kwa hapa Tanzania.
 
Rais aliyekuwa hajui kazi yake
Eti kutembea nchi nzima na msafara wa magari 290 na helkopta akisikiliza kesi za wamama kunyang'anywa mali na mashemeji zao ..
Em acheni uongo jamani.....Mbona hamsemi misafara ya magari 700 na wasanii juu kwenda kufungua madarasa mawili
 
Em acheni uongo jamani.....Mbona hamsemi misafara ya magari 700 na wasanii juu kwenda kufungua madarasa mawili
Ndio legacy ya mwendazake hiyo, Samia inabidi kuachana na mambo ya mwendozake full
 
Kila mtu ana style yake ya uongozi, unataka Mama Samia aige na mauwaji na kuleta wasiojurikana?
 
umesahau case ya kijana wa MAKAMBAKO? ndiyo aliinua bango mbele ya magufuli magufuli akaamuru police wamshughulikie tu kwasababu ametoa maoni yasiyompendeza amgufuli? unajua kijana yule alifanywa nini na yupo wapi?
unakumbuka issue ya mabango kule tabora? magufuli aliwajibu nini wale kian mama?
Kwa taarifa yako tu
raisi haulizwi maswali wala kero za papo kwa papo na akazitatua... punguani wewe ukiona hivyo yalishapangwa
SAMIA NDIYO RAISI WA JMT KAMA UNAKERWA HAMA NCHI AU KALIFUFUE
 
Hakuna Chawa aliyewahi kufanikiwa kwa kumuabudu Marehemu .

Wewe utakuwa wa kwanza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…