Joyce Mhavile: Mkono wa kushoto wa Mengi IPP

Joyce Mhavile: Mkono wa kushoto wa Mengi IPP

Wakati mwingine inawezekana ni kwa kutokupenda kufuatilia au ni mambo ambayo hayatuhusu, ila leo wakati tunaangalia utoaji wa Tuzo za Malkia wa nguvu, mmoja ya walioshinda tuzo maalumu ya inspirational icon ni Joyce Mhaville.

Wakati anatambulishwa, Ruge mutahaba, Mkurugenzi wa Clouds Media alimuelezea huyu mama toka miaka ya tisini, namna alivyopambana kuisimamisha ITV/Radio one. Katikati ya mjadala watu wakanitonya hata Clouds yenyewe imekuwa ikichukua sana wafanyakazi wengi IPP.

Story bado zikaendelea kwamba katika watu ambao Mzee mengi anawaamini ni Joyce kuliko hata mke wake.

Kwa maneno machache Joyce ndiyo injini ya ITV/Radio one toka ilipoanzishwa na hakuna mtu anayeaminika na Mengi zaidi ya Mhavile.

Mwenye data zaidi anaweza tudondoshea hapa
Mbona KYLN kanunuliwa private Jet lakini Mhavile hajanunuliwa kama Mhavile ndo kila kitu?

 
Mkuu
Joowzey Na Flowerss
Majibizano Yenu Nimeyapenda
Nadhani Kama Ni Bunge Lipo Kama Kamati Sasa
 
Ni kweli Joy yupo poa, ila kwa mahitaji ya wakati huu ni vyema mzee Mengi ampumzishe kwenye management.
Kila zama zinahitaji 'zana' zake.
 
Nakumbuka kipindi kile anatangaza kipindi cha KULIKONII! kuna siku hadi machozi yalimtoka sijui ilikua kipindi kile cha mwanafunzi aliesukumwa na konda kwenye gar akafariki sikumbuki alikua anaelezea kitu gani
 
Back
Top Bottom