Joyce Mhavile: Mkono wa kushoto wa Mengi IPP

Joyce Mhavile: Mkono wa kushoto wa Mengi IPP

Nampendaga huyu Dada nilikuwa namtania mchumba akawa anajibu ukiwa mkubwa tutaoana lol! Wakubwa wanafaidi kuna wakati alikuwa bomba sana.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji174]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakati mwingine inawezekana ni kwa kutokupenda kufuatilia au ni mambo ambayo hayatuhusu, ila leo wakati tunaangalia utoaji wa Tuzo za Malkia wa nguvu, mmoja ya walioshinda tuzo maalumu ya inspirational icon ni Joyce Mhaville. Wakati inatambulishwa Ruge mutahaba mkurugenzi wa Clouds Media alimuelezea huyu mama yoka miaka ya tisini, namna alivyopambana kuisimamisha itv/radio one.. katikati ya mjadala watu wakanitonya hata Clouds yenyewe imekuwa ikichukua sana wafanyakazi wengi IPP. Story bado zikaendelea kwamba.. katika watu ambao Mzee mengi anawaamini ni Joyce kuliko hata klyn.. kwa maneno machache Joyce nildiyo injini ya ITV/Radio one toka ilipoanzishwa na hakuna mtu anaeaminika na Mengi zaidi ya mhavile. Mwenye data zaidi anaweza tudondoshea hapa
Wewe jamaa ivi umejuaje mtu anayeamikika moyoni mwa mtu? Duu wa bongo wape picha stori watamalizia wenyewe
 
Screenshot_2018-04-08-07-04-17.png

Mwisho wa siku nabaki njia panda kwanza
 
Nampendaga huyu Dada nilikuwa namtania mchumba akawa anajibu ukiwa mkubwa tutaoana lol! Wakubwa wanafaidi kuna wakati alikuwa bomba sana.
Kaumbika vizuri na yuko smart, very rare, tulimwonea donge sana "The late Adam Lusekelo", ila alikuwa mkubwa kwetu..
 
Nampendaga huyu Dada nilikuwa namtania mchumba akawa anajibu ukiwa mkubwa tutaoana lol! Wakubwa wanafaidi kuna wakati alikuwa bomba sana.
Mm mpk leo namzimia na ukubwa wake huoooo

Ova
 
Sasa hv amefeli sana itv saivi ni hovyo zaidi ya tbccm.anaukichwa gani sasa huyo?
 
Back
Top Bottom