Joyce Banda: 'We will not go to war with Tanzania...'

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675

1333931912782_1333931912782_r.jpg


Malawian President Joyce Banda said on Wednesday her country will not "go to war" with Tanzania over a border dispute in Lake Malawi, now poised to become a new oil and gas frontier.

"Even if the diplomatic route fails, it does not necessarily mean we will go to war with our brothers and sisters in Tanzania because we can resort to other channels to solve the matter," Banda told reporters in her first public reaction to the issue.

Tanzania wants an halt to oil exploration in the northeast part of the lake to pave way for talks to resolve the dispute.

The border dispute erupted after Malawi last year issued a licence to British firm Surestream Petroleum to prospect for hydrocarbons.

Banda came to power in April after the death of president Bingu wa Mutharika, whose administration awarded the licence.

"Much as it is a well-known fact that the lake belongs to Malawi, we will engage our Tanzanian counterparts and resolve our differences diplomatically and amicably," she said.

The Malawi leader said she was going to hold talks with her counterpart Jakaya Kikwete in Mozambique during the the two-day summit of the Southern African Development Community, which begins Friday.
Tanzania claims a portion of the 29 600 square kilometre lake.

Malawi claims a colonial-era agreement dating from 1890 that stipulates the border between the two countries lies along the Tanzanian shore of the lake.

Surestream has been conducting an environmental impact assessment on the lake.
The two nations are set to hold talks on the disputed border in the northern Malawian town of Mzuzu on August 20, two days after the Maputo summit. - AFP

And Minister of Information, Moses Kunkuyu assured that the matter will not escalate into skirmishes.

"Malawians need not to panic because there is no cause for alarm," he told Daybreak Malawi programme on Capital FM on Wednesday.

"We know the treaties that define our borders. And we do respect such treaties, therefore, we see no reason why we should engage our Tanzanian counterparts in warfare. We will exhaust every diplomatic channels to resolve this matter," he said.

"Malawi has never talked war with any country since time in memorial, and Malawi is not blandishing guns with Tanzania," added Kunkuyu.

Tanzania threatened war if Malawi continue oil exploration and does not share about 50 % of Lake Malawi which legally belongs to Malawi based on the Helgoland Treaty of 1890 and subsequent African Union declarations that African countries should respect borders set by colonial rulers.

Malawi claims a colonial-era agreement dating from 1890 that stipulates the border between the two countries lies along the Tanzanian shore of the lake.
Meanwhile, Anna Mghwira, a political analyst based in Arusha, cautions that the complexity of the boundary dispute between the two developing nations is a time bomb.

"The two countries ought to conclude the issue once and for all, lest the wrangle escalates into unnecessary skirmishes," she observes in comments published by The Citizen of Tanzania.

UK-based Surestream Petroleum has been conducting an environmental impact assessment on the lake

Source: Nyasa Times


Mytake:

1. Jakaya Asipokuwa makini Ziwa Nyasa linachukuliwa

2. Waziri wa mambo ya nje Mh Membe aache mambo ya kupayuka hovyo maana mambo haya yanamshinda
 
Nadhani hapa busara itatumika. Kama mpaka ni ufukwe wa ziwa Nyasa upande wa Tanganyika, mbona Malawi haijawahi kuweka kituo cha uhamiaji kama ilivyo Namanga kati ya Kenya na Tanzania? Huyu mama nadhani ni mtu wa busara, tusubiri tuone.
 
KIKWETE KASHINDWA KUPONGOZA, SASA KAAMUA KUGAWA TANZANIA ALIYOPEWA NA NYERERE IKIWA IMEKAMILIKA, SASA KILOMETA 30 ZA ZIWA ZINAONDOKA MIKONONI WAKE, TENA MWANAMKE NDIO ANAMNYANG'ANYA.

NI BORA tungemchagua Dovutwa au mchungtaji mtikila.
 
Huyu mama kuna watu wanamdanganya na hasa hawa vigeugeu wa Magharibi !
 
namshauri huyu banda akasome UN international law on territorial water
Nadhani ndiyo maana amesema kuwa tatizo litatatuliwa kwa amani. Anazijua sheria za kimataifa. Angalia katumia neno "amicably."
Kwa usemi mwingine ni kwamba pande zote zitakubaliana na uamuzi
 
Sijui lowasa, membe na Sita watajisikiaje kuona mwanamke kawazidi busara? Haya asiye na koromeo tena anaekojoa kachuchumaa kawa bora kuliko wenye mikoromeo na wenye kukojoa wame simama kazi kweli kweli....
 
Nadhani ndiyo maana amesema kuwa tatizo litatatuliwa kwa amani. Anazijua sheria za kimataifa. Angalia katumia neno "amicably."
Kwa usemi mwingine ni kwamba pande zote zitakubaliana na uamuzi

kweli mkuu. napata shida kama zanzibar wanodai kujitenga sheria za kimataifa zinataka nchi kumiliki maji ya bahari kutoka pwani kwa umbali wa km 250, kwa maana nyingine zanzibar watakosa umiliki wa bahari.
 
Hatuna sababu ya kupigana vita kwa sasa. Labda na sisi tuwe wagombea urais wa 2015.
 
haraka haraka za urais zikawafanya wengine watangaze vita hadharani. Ilitakiwa mnaweka majeshi kimya kimya yanaendelea kula doria. Upuuzi wa wanasiasa ndo umetufikisha katika maisha haya, wanachukua majukumu ya amiri jeshi mkuu na kuwa wasemaji wa jeshi. Pumbaf zao!
 
Banda siyo kwamba ana busara. Intelijensia wake wamemwambia juu ya boti za kijeshi zilizopo ziwa Nyasa na askari na vifaa waliopelekwa Kyela na Songea. Naye ana akili amejua maji ya shingo. Yeye si ndiye aliyesema wiki iliyopita kuwa yupo tayari kufa akiipigania Malawi.

Ila nina wasiwasi sana na uwezo wa viongozi wetu katika kunegotiate. Mtu mwenyewe Membe na yule balozi Tsere anayeonesha kabisa yupo tayari kuliachia ziwa.
 
Wamalawi wenye uchu walitaka kumpima huyu Mkuu wa dola ya Malawi Joyce Banda kama ana busara kiasi gani, vinginevyo angeonekana kuanza vibaya kabisa utawala wake kwa kugombana na jirani zake.
 
Wewew Kupenge ni gamba halafu unamwambia waziri membe amepyuka!! mbio za Urais zitawaua nyie Gambazzzzzzzzzzz
 
Banda siyo kwamba ana busara. Intelijensia wake wamemwambia juu ya boti za kijeshi zilizopo ziwa Nyasa na askari na vifaa waliopelekwa Kyela na Songea. Naye ana akili amejua maji ya shingo. Yeye si ndiye aliyesema wiki iliyopita kuwa yupo tayari kufa akiipigania Malawi.

Ila nina wasiwasi sana na uwezo wa viongozi wetu katika kunegotiate..
hata mi nahisi kaona maji ya shingo imebidi ajiadjust.. Watu sahivi wanamuona ana busara ila hatujui kichwa chake kinawaza nini maana kuongea ni rahisi tu. Kwenye kunegotiate hapo ndio shughuli, raisi wetu asije akalegezewa macho, pua imebanwa mwenye akasema "basi bibie, hata ikulu ukisema yenu mi nakuachia".
 
Back
Top Bottom