Joyce Banda: 'We will not go to war with Tanzania...'

Joyce Banda: 'We will not go to war with Tanzania...'

It would be rational for the boundary between Malawi and Tanzania to be a line running along points equidistant from the shores of the two countries. This is the accepted international practice if two nations are separated by a lake or river.

Even if the Germans agreed with the British in 1884 that the Lake wholly belonged to Nyasaland, no native inhabitant on the Tanganyika side respected this irrational arrangement. The British would have built an immigration and costoms post on the border with the German territory, if they treated this aspect of the so-called Berlin agreement seriously. I am sure even when Germany was ruling our country, the British built cusoms and immigration facilities on their shore in Nyasaland.

As matters evolved Tanganyika built ports on the shores of Lake Nyasa and TACOSHILI had boats ploughing between these ports and even crossing into Malawi. People coming from Malawi by boat were immigrated at these ports by officers of Tanganyika and goods imported were subject to Customs checks.

It is good that the President of Malawi sees that the two neighbours do not have to engage in hostilities in order to rationalize the boundary. Indeed if petroleum is discovered, amicable arrangements should be worked out as to how to apportion the product between the two countries.
 
Kweli umeandika sana kwa kirefu ila nataka kukwambia kwamba hakukuwa na haja ya kutoa vitisho vya kitoto kwenye swala Kama hili.
Nyerere alimpiga idi amini sababu tayari tulisha shambuliwa kilichofata ni kujihami likini Nyerere hakukurupuka alivumilia mpaka tukaanza kuuliwa ndio *akaingia vitani.
Malawi hawajafanya uhatari wowote kwa raia yeyote Kama idi amini na Kuhusu utafiti wanaofanya ni halali wangeenda vipi mahakamani wakati wanaamini ni mali Yao? Ilitakiwa kuwa ambia waache na sio vitisho...tadhmini kauli za viongozi wetu na viongozi wa Malawi utaona tofauti zao wenzetu wanataka diplomacy sisi tunataka vita hakuna haja ya mtutu hapa mbona walipoliita lake Malawi hatukuwakataza? Tulipuuzia ndio maana yanatokea haya.
Tuko tofauti sababu unakubaliana na upumbavu wa viongozi wetu hasa hao walioropoka ovyo na Mimi napingana na kauli zao hiyo ndio tofauti yetu.

Mimi siwezi shabikia ujingakama huo daimahata uni point gun in my heard ila itakapotokea vita sintowacha utaifa wangu wa Tanzania ila haistahili kufika huko najua madhara ya vita ndio maana naikataa ila nyie mliozaliwa miaka ya 80-90 hamjui adharizake ila Kama umezaliwa 60-70 nadhani unajua madhara yake.

Tumuombe mungu asitufikishe huko ona Iraq, Afghanistan, Palestine, Somalia, Congo na kungineko utaona ninacho ki avoid. Ila kumbuka kwa muoga hakunaga msiba baba.







Wewe na wote wenye akili za namna hii mna matatizo kabisa. Hata unapomnukuu Mwl. Nyerere hujui mazingira yaliyokuwapo wakati ule. Hivi baada ya Iddi Amin kuvamia Tz kwa nini Nyerere hakutumia "busara" za kukaa mezani? Au unadhani Tanzania wakati huo ilikuwa na uwezo kama USA kumkabili nduli? Hapana. Kwa taarifa yako Iddi Amini alikuwa na vifaa vingi na vya kisasa zaidi kuliko Tz. Tena alikuwa amejiandaa kwa vita na Tanzania. Ni kwa vipi basi Tanzania ilishinda? Iweje taifa dhaifu na dogo kuweza kulikabili taifa lenye nguvu? Hizi zinaitwa "military strategies." Waganda walikuwa wamegawanyika kuhusu utawala wa Iddi Amini. Hakuna mbinu iliyo bora ya kushinda vita kama kuligawa taifa vipande vipande. Na ndipo tulipofika watanzania kwa ajili ya watu wenye mawazo kama yako. Kwa matusi mnayoyarusha dhidi ya jeshi na serikali yenu sidhani hata kama mwanajeshi aliyevitani anaweza kukuomba kipande cha mhogo ukampatia. Kwa maana hiyo tayari jeshi letu lina maadui wawili: maadui wa ndani (kina ninyi hao) na maadui wa nje (Malawi kwa sasa). Huu ni usaliti mkubwa sana dhidi ya utaifa. Hili kosa linaitwa AIDING AN ENERMY. Huku mkijidai mna busara sana, hizi makala zenu zinalenga kuwa-rally wananchi dhidi ya serikali yao katika mgogoro huu na Malawi. Sijaona thread za kipuuzi kama hizi katika nchi ya Malawi. Maanayake nini? Wamalawi wako na msimamo mmoja bila kujali tofauti zao za kisiasa. Hapa sisi tumegawanyika makundi mawili: pro-Malawi (traitors) na patriots (watanzania halisi).

Na kuhusu huo mfano wako wa mke: Nakushangaa sana kwa sababu tayari umemfuma njemba aliyekutishia kuwa siku moja lazima atazini na mkeo (mgogoro huu haujaanza leo kwa taarifa yako). Umemkuta kwenye act ya uzinzi kitandani pako! Unamwacha aendelee kufaidi halafu wewe unaenda kufungua shauri katika ofisi za serikali ya mtaa. Hapo ni lazima ndoa yenu itazamwe upya kama kweli mnapendana.

Malawi wameanza utafiti wa mafuta wakati mahakama zimejaa tele. Kwanini hawakukimbilia mahakamani? Tumewafuma ziwani tukamtaka mzinzi wetu akome kabisa kwani tuko tayari hata kufa kunusuru ndoa yetu. Hivi ni nani mchokozi hapo? Nataka unionyeshe hiyo busara ya raisi wako Banda. Narudia tena, kauli ya kukimbilia kwa wasuluhishi ni baada ya kuona reaction ya watanzania kufuatia uvamizi wao. Tayari serikali yako ya Malawi imeshavamia Tanzania kwa kujimegea sehemu ya ardhi yake.

Linapokuja suala la mipaka ya nchi, vijembe vya kisiasa wekeni kando. Tanzania kwanza.
 
Hebu waeleze bwana,
Hebu fanya research kwa post zaidi ya 300 zinazoongelea Ziwa Malawi uone kama kuna hata mmoja humu ameweza kuthibitisha kwa kutuletea kifungu chochote humu duniani kinachotetea kwamba nusu ya Ziwa Malawi ni letu.

N huu ndio uthibitisho tukianzia na ninyi maadui wa ndani:

m60e4.jpg

Tanzania haijawahi kuwa na hata tone moja la Ziwa Malawi wala haitakuja kupata kwa njia zozote mnazodhani.
Wala hazipiti wiki mbili tuone ni nani atakaa kimya kwa sababu hakuwa ameukumbatia ukweli humu JF na kokote kulikobishaniwa hili bila sababu za msingi wakati mpaka wa Ziwa Malawi ni suala na bilateral agreement.
 
Back
Top Bottom