Hii sio breaking news. Msimamo wa malawi uko very clear tangu mwanzo kuwa hawataki vita
This is very tricky.....ktk meza ya mazungumzo Malawi watakua na upper hand.
Hii sio breaking news. Msimamo wa malawi uko very clear tangu mwanzo kuwa hawataki vita
namshauri huyu banda akasome UN international law on territorial water.
Hii sio breaking news. Msimamo wa malawi uko very clear tangu mwanzo kuwa hawataki vita.
Sasa hapa aliyelala dororo, mwenye Akili matope na wa kuamka ni nani zaidi yako? Wewe ni janga la kitaifa umenikumbusha kauli ya baba wa taifa mwaka 70 kuwa ni bora uwaongoze wasomi 1-million ni wengi lakini watakuelewa kirahisi kuliko kuwaongoza wajinga 10 Kama wewe watakutesa sanaa.... APo point ni busara tuu kwa Akili na elimu yako fikiria hili.
A) mke/mume wako anachelewa kurudi nyumbani kila Siku wewe kabla hujamuonya wala kukaa nae na kumueleza msimamo wako au kumpa nafasi ya kujieleza sababu iliyopelekea achelewe tayari umesha anza kumtishia je kuna busara hapo?
B) mtu kavamia shamba lako bila wewe kumtaarifu kuwa wewe ndio mmiliki halali wa eneo husika ujue respond yake official wewe unaweka bunduki begani na kumfata hapo chizi atakuwa nani?
Hatutaki wizi, ziwa Malawi si la kwetu hilo mnalijua fika, tukianza kuchezea mipaka tuliyoachiwa na Mkoloni , hata Kenya watadai mlima Kilimanjaro.
Mnajua wazi huo mkataba wa 1890, unaruhusu watz kutumia maji na uvuvi.Hili la mafuta si yetu ni kweli.
After all hayo mafuta yakipatikana yatawafaidisha akina riz, fredy lowasa etc, wakati huo tutakuwa tumewapoteza ndugu zetu kibao.
Huu si wakati muafaka wa kulumbana na Malawi tungepambana kwanza na mafisadi wa ndani, baadaye tukipata viongozi waadilifu ndo tuzungumze haya.
Kudos madame Joyce Banda; you are a voice of reason. Barbs to all war mongers both in Tanzania and Malawi.
Hebu waeleze bwana,
Hebu fanya research kwa post zaidi ya 300 zinazoongelea Ziwa Malawi uone kama kuna hata mmoja humu ameweza kuthibitisha kwa kutuletea kifungu chochote humu duniani kinachotetea kwamba nusu ya Ziwa Malawi ni letu.
Huyu Joyce mtalikiwa hana lolote: Soma hapa Chini:
Internal waters
Waters landward of the baseline are defined as internal waters, over which the state has complete jurisdiction: not even innocent passage is allowed. Lakes and rivers are considered internal waters, as are all "archipelagic waters" within the outermost islands of an archipelagic state such as Indonesia, Japan or the Philippines.
Territorial sea A state's territorial sea extends up to 12 nautical miles from its baseline. If this would overlap with another state's territorial sea, the border is taken as the median point between the states' baselines, unless the states in question agree otherwise. A state can also choose to claim a smaller territorial sea.
Mkuu huu mgogoro umenifunza mambo mengi. Wakati tunalaumu kuwa na viongozi wabovu, kumbe watanzania wa sasa ni hovyo kabisa. Hebu cheki thread za kufagilia Malawi zilivyojaa sambamba na za kuiponda Tanzania. Where is nationalism.
Malawian President Joyce Banda said on Wednesday her country will not "go to war" with Tanzania.
. Watamiliki upande wa North-East and South_east.kweli mkuu. napata shida kama zanzibar wanodai kujitenga sheria za kimataifa zinataka nchi kumiliki maji ya bahari kutoka pwani kwa umbali wa km 250, kwa maana nyingine zanzibar watakosa umiliki wa bahari.
. Tungoje wamelize utafiti waweke mitambo ya kuchimba mafuta/gesi halafu tunawarushia makombora, tena tunaanza na makombora chakavu ya mbagalaYou are right madam Banda, because it is Tanzania that will come after you. You don't have to go anywhere.
Ila jamani, hii itakuwa vita ya maneno tu, kwa kuwa kinachoongelewa hapa ni maji, sio ardhi. Labda Malawi waingize chombo cha kijeshi katika eneo la ziwa linalodaiwa na Tanzania, ndio JWTZ linaweza kukiteka, kikitungua au kukizamisha.
Hatuwezi kuzamisha vyombo vya kiraia, au kwenda kuwapiga Wamalawi huko Lilongwe kwa kuwa wanasema mpaka hauko katikati ya ziwa. Lazima kuwepo na "an act of provocation", kama Amini alivyoingiza majeshi Kagera.
Suala ni je, Malawi watatingisha kibiriti kuendelea na utafiti wa mafuta eneo tunalodai? Kampuni gani ya nje ya mafuta itataka ku-risk investment eneo lenye mgogoro kama hili? La sivyo status quo ni kubishana tu - "langu, sio lako, mwone, kwanza sura yako mbaya kama uji wa ulezi"! Utoto tu huu.