Mafanikio ya nchi yetu na mabadiliko katika hali ya kubadi;lisha mambo na utendaji wa mambo na hasa KASI ya Rais Magufuli katika kuleta MAENDELEO, imeanza kuigwa hata na jirani zetu.
Tayari nchi ya Uganda imeamua kufuata mkondo wa Tanzania katika kuliamsha shirika la ndege la Uganda kwa kununua ndege 6 KWA MKUPUO ambazo zitakuja kwa awamu. Ndege nne aina ya Bombadier CRJ 900 ZITATANGULIA.
Zikifuatwa na ndege kubwa aina ya A 300-200 { Air bus}
Hii inatufanya watanzania tujivune kidogo kwamba juhudi za za Magufuli si za bure. Japokuwa NABII hapati heshima nyumbabni kwake.
Wengi wamesema mengi sana kuhusu ndege zetu. Sijui sasa watasema nini?
Jamani hili ni jambo ambalo kila Mtazania mpenda maendeleo ni lazima alifurahie.
Maana joto la Magufuli laanza kuwa felt na kuigwa UKANDANI.
Pia nchi ya jirani yetu kaskazini nao wameanza mpango wa kununua MABASI ya MWENDO kasi.
Tayari inasemekana barabara zimetengwa rasmikwa ajili ya majaribio ya mabasi kama yetu.
Je wana jamvi hatuoni kuwa nasi TUNAIGWA tufurahi?
Tanzania hoyeeee!!