Wacheni kufanya dhambi, joto litapunguwa.Bonjour
Hili joto la dar es salaam, aisee sio poa, jua Kali joto kali
Muda wote una sweat jasho, maji unakunywa kila muda kama chura, Yani hogopaaaa ni hatari
Nipo na shem wenu hapa, tunazagamuana, Aisee tumeloa jasho chapa chapa kama tumepigwa na mvua za bondeni, Yani feni speed ya mwisho lakini wapi, mashuka yameloa mpka kichefu chefu
Tunaiomba serikali ya ccm iweze kupunguza hili jua na joto Kwa hapa dar ,
Wapo kama walivyozaliwa, labda waambie walale sakafuni tuVua nguo mkuu
Au siochukua flana nyeupe, iloweke, itoe kisha vaa
joto utalisikia kwa jirani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maazimisho ya joto kitaifa mwaka huu yanafanyika Ifakara [emoji1787][emoji1787] utasema tupo kwa shetani !
The Icebreaker una undugu na huyu jamaa The ice breaker ?π
Hako kabinti kameiga ID yangu,kasipojiangalia nakapelekea posa,ole wake kakatae.
Ndio mkuu, si kwenye gari yako?Utazunguka na AC barabarani?
Barabarani sitembei kwa miguu mimiUtazunguka na AC barabarani?
JobTrueTrue ππBarabarani sitembei kwa miguu mimi
AiseeNdio mkuu, si kwenye gari yako?
Sakafuni kuna vimchanga kitumbua kitachafukaWapo kama walivyozaliwa, labda waambie walale sakafuni tu