Mwenzao masanja anakula pizza wao pilau
Hivi pizza ni chakula cha maana eeeeh?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mwenzao masanja anakula pizza wao pilau
Wasanii wa kibongo bila kuact kike wanaona bado hawajakamilika !japo Joti ana styles tofauti
Farkhina huku mtu akils pizza anaonekana bonge la mjanja na fogo...!!!
Acha kujitoa fahamu bhana,pilau sahani bei gani na pizza bei gani????!!!!
Unaongelea bei au nutritional value???!!!
Kimtaa pizza iko juu kweli sababu ya bei na ukiitaka kwa wengi unahitajika kuifuata huko iliko hapo unaongelea wese pia!!!!!!!
So in a way pizza ni popular urban culture so ina expenses juu ya pilau!!!!!
Hatubishani tunaelimishana naweza kuwa sahihi from my point of view nawe pia hivyohivyo au vice versa
Mkuu nyuma ya pazia umeona kunani.........................?
Conversation closed ...!
Sukuma twende :smile-big:!!Heee huo msuko wa nywele ndio unaitwakje?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sukuma twende :smile-big:!!
Na mie unisuke dada angu..
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sukuma twende :smile-big:!!
Afu nshakumiss sana kama mke wa ndoa! Wewe hujanimiss