Joti akila pasaka

Joti akila pasaka

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
1398010978410.jpg
 
Huyu ni dume au kike maana naona kiblauz na kiskiti na skint tait na nimejitahidi kumchunguza na nikazoom lakini bado picha sipati au ndio wale ambaosiyo riziki jamani samahani no tusi
 
Wasanii wa kibongo bila kuact kike wanaona bado hawajakamilika !japo Joti ana styles tofauti
 
Huyu nae huyu...........asipoangalia atazeekanayo hako katabia............ilikuwa wapi kwake Ulongoni?
 
Heee huo msuko wa nywele ndio unaitwakje?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Huyu nae huyu...........asipoangalia atazeekanayo hako katabia............ilikuwa wapi kwake Ulongoni?

Kuna video moja nlitumiwa kapodolewa kama demu hadi baba watoto ananiuliza huyu ni mwanamke? Sauti ndio ilomfanya aamini kama ni me

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kuna video moja nlitumiwa kapodolewa kama demu hadi baba watoto ananiuliza huyu ni mwanamke? Sauti ndio ilomfanya aamini kama ni me

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Nitumie Dada angu
 
Back
Top Bottom