Yuko kwenye kona fulani hivi anajitesekea tu.Huyu aliondoka Chadema kwa mbwembwe nyingi na kupokewa na Heri James kwa mbwembwe sana. Lakini cha ajabu ndio kwanza kapotea kabisa kwenye siasa za bongo
Aah wapi. Keshapigwa chunguniYupo kwenye mkeka wa ma-DAS
CCM inawenyewe, Kama alikosa teuzi awamu ya JPM asahau kabisa awamu ya MAMA.
Huyu aliondoka Chadema kwa mbwembwe nyingi na kupokewa na Heri James kwa mbwembwe sana. Lakini cha ajabu ndio kwanza kapotea kabisa kwenye siasa za bongo
Nimecheka sana😂😂😂