Joshua Nassari MB.

Joshua Nassari MB.

baada ya Nasari kumaliza kuhojiwa na kuruhusiwa kuondoka..Riz1 alimpigia simu Isaya Mngulu na kumtaka amkamate Nassari ndipo nasari akapigiwa simu na kuambiwa arudi kituo cha polisi...
 
Huyu Dogo awe makini sana na maneno yake.
Ni kweli mkuu hata mimi sikuyapenda matamshi ya dogo, ila nilijua hii kesi siyo serious sana kwa vile matamshi yametolewa wakati akifanya siasa, ingekuwa serious case kama matamshi yange rekodiwa sehemu ya siri.

Ila viongozi wa CDM lazima wawe waangalifu sana kwa kila wanachofanya, wajue polisi huwa wanazitumia sheria effectively hasa wanapodili na kesi za CDM, siyo kwamba polisi inawaonea CDM la bali wanakuwa na double standard kwa kosa lile lile linalofanywa na mwana CCM.
 
duh nimeipenda hiyo.ila dogo janja awe makini avumilie muda uliobaki ni mdogo sana 2015

uoga ni dhambi moja mbaya sana....mimi namshauri akomae nao maana hii serikali ya magamba bila vitu kama hivyo haitekelezi wajibu wake...hahahahaah
 
Ni kweli maneno aliyoropoka siyo mazuri, lakini lazime serikali ijiulize kwanini yale maneno yaliropokwa!

Nimependa alivyoachiwa_ila sijapenda maneno aliyoropoka,...ajifunze kufikiri kabla ya kusema.
 
Kuweka taarifa sawa, kilichotokea leo ni kwamba tulifika polisi kuripoti na wahusika hawakuwepo wail kuwa Kwenye mkutano na ofisi ya mkuu wa mkoa. Tulilazimika kuondoka ili Mh. Nassari aweze kuhudhuria mkutano jimboni kwake. Tukiwa njiani nilimpigia simu Naibu Kamishna wa polisi ambaye ndiye anashughulikia suala hili kumueleza kwamba tulifika kituoni. Alitutaka turudi ili Mh. Nassari aandike maelezo yake. Tulirudi na mpaka sasa ndicho anachokifanya. Shutuma dhidi yake ni kutoa kauli ambazo zingeweza kuleta uvunjifu wa amani kinyume na kifungu cha 63B cha sheria za makosa ya jinai.
 
So baada ya kukamatwa/kuitwa polisi mara ya pili nini kilichofuata?

Pia si vibaya, waheshimiwa makamanda wetu, mki-iwekea steak kidogo hii taarifa.
 
baada ya Nasari kumaliza kuhojiwa na kuruhusiwa kuondoka..Riz1 alimpigia simu Isaya Mngulu na kumtaka amkamate Nassari ndipo nasari akapigiwa simu na kuambiwa arudi kituo cha polisi...


Mhhhhhh! Kwani Bwabwa/ Boflo Riz1 ana cheo gani kwenye serikali ya MAGAMBA?
 
Nasari amezima simu zake na Lema anapiga busy ila nimeongea na katibu wa Nasari kasema atanipigia, it has taken an hour! Nilimpigia James Ole Millya kasema watanzania wasijali. All in all dogo janja yuko uraiani ila hataki kusumbuliwa na media. Karibuni Arusha!
 
Je nini kinaendelea baada ya kupigiwa simu arudi kituoni?Anayejua atupe taarifa
 
Ni kweli maneno aliyoropoka siyo mazuri, lakini lazime serikali ijiulize kwanini yale maneno yaliropokwa!

ngoja na mimi nilopoke kuanzia leo Maxince marufuku kuingia jukwaa la siasa...lol
 
Well hebu tufuatilie tujue what next; namshauri Dogo janja kufuata ushauri wa Mwenyekiti Mbowe alioutoa papo kwa pale katika viwanja vya unga ltd kwenye mkutano kwamba awe makini zaidi na kutafakari kwanza kauli zake hadharani na hasa kwenye mikutano yake ya hadhara ambapo magamba wanaweza kumuumiza kwa shitaka la Incitement au wakaenda mbali zaidi na kumchaji for treason ili mradi ahangaike na kesi mahakamani badala ya kuwashughulikia wananchi wa Arumeru mashariki na Arusha mjini ambalo yeye ni mbunge mlezi.
Ni lazima makamanda wote popote pale tulipo nchini tukubali ukweli kwamba kwa sasa magamba ni kama Nyati aliyejeruhiwa; kwa hoja hawatuwezi CDM; labda kama ni kujenga hoja ya ufisad!; ndio maana mlisikia mtu kama Mkapa anazungumzia udugu baina ya Baba wa Taifa na Vicent Nyerere badala ya kuzungumzia shida za wananchi wa Arumeru!! kwa hiyo silaha waliyobaki nayo at least for
the time being ni abuse of power and authority kwa kutumia vyombo vya dola kufifisha gharika linalowafuata; hiyo njama tunaijua na tumeibaini first hand katika hukumu ya kesi ya kamanda Lema, kwa hiyo we should not allow ourselves to fall in their traps kirahisi rahisi hivi. otherwise Aluta continua mpaka ukombozi kamili wa wanyonge wa Tanzania tuipendayo upatikane. stay vigilant.
 
baada ya Nasari kumaliza kuhojiwa na kuruhusiwa kuondoka..Riz1 alimpigia simu Isaya Mngulu na kumtaka amkamate Nassari ndipo nasari akapigiwa simu na kuambiwa arudi kituo cha polisi...

crashwise who'z Riz one in this country by da way..tip
 
Nimependa alivyoachiwa_ila sijapenda maneno aliyoropoka,...ajifunze kufikiri kabla ya kusema.

WATU TUNATAKA KUJITENGA WE UNASEMA KAROPOKA, WEWE NDIYO UNAROPOKA
 
Back
Top Bottom