Joshua Nassari MB.

Na wale wa zanzibari
wanaotaka kujitenga vp?
Tena wanaendesha miha
dhara kila siku nao vp?

mkuu umenena, yaani akifanya mwananchama wa Chadema inakua noma, kule Znz wale wanaoendesha mihadhara wanamwaga matusi mazito ambayo hayavumiliki kwa kua ni CUF, polisi na majeshi yote pamoja na usalama wa taifa hawasemi kitu...
Wakina JK, Sitta, Pinda, JK Nyerere kule Zanzibar kwenye mihadhara wanatukanwa vibaya na Polisi,TISS;FFU wanakua wapo pale pale wanakenua meno..
Kauli ya Nassry imeonekana ni threat kwa serikali???
 

hapa nawaona na nyie mnakurupuka kwa jazba zisizo na msingi!...hivi yeye alivyosema ni mdogo kwani ni lazima nyie m-conclude kuwa ni "udogo" wa umri?....inawezekana yeye alimaanisha ni "mdogo" kwa wadhifa katika "game" la siasa na si lazima nyie m-conclude kuwa ni "udogo" wa umri!
 
hapa nawaona na nyie mnakurupuka kwa jazba zisizo na msingi!...hivi yeye alivyosema ni mdogo kwani ni lazima nyie m-conclude kuwa ni "udogo" wa umri?....inawezekana yeye alimaanisha ni "mdogo" kwa wadhifa katika "game" la siasa na si lazima nyie m-conclude kuwa ni "udogo" wa umri!
 
POLISI mkoani Arusha jana lilimhoji Mbunge waArumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari kwa zaidi ya saa saba baada yakujisalimisha katika Kituo Kikuu cha jeshi hilo.

Nassari ambaye anadaiwa kutoa maneno ya uchochezi dhidi ya Serikali katikamkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika Mei 5, mwaka huu katika Uwanja chaNMC, alishikiliwa kituoni hapo kuanzia 6:12 mchana hadi saa 12 jioni kishakuruhusiwa kuondoka na kutakiwa kuripoti kituoni hapo leo.

Alifika hapo akiwa na Wakili wake, Arbert Msando bila ya kuwakuta viongozi wajeshi hilo hivyo wakaamua kuondoka.

Lakini nusu sasa baadaye, Naibu Kamishna, Isaya Mungulu na Kaimu Kamanda waPolisi Mkoa wa Arusha, Akilimali Mpwapwa walifika na kuwataka viongozi waChadema, waliokuwa kituoni hapo kuwasiliana na Nassari ili arejee.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Godbless Lema aliyekuwapo aliwasiliana naNassari ambaye alirejea saa 7:20 akiwa na Wakili Msando na alichukuliwa naKamanda Mpwapwa ambaye alimwelekeza kuelekea Ofisi ya Mkuu wa
Upelelezi Mkoa (RCO) kwa mahojiano.

Baada ya kumfikisha Mbunge huyo katika ofisi za mahojiano, Kamanda Mpwapwaalisema kulingana na uzito wa shauri lake atalazimika kutafuta watu wa kumwekeadhamana mara baada ya kuhojiwa.

“Hapa yupo mikononi mwa polisi, atahojiwa na baadaye atapewa dhamana,” alisemaMpwapwa.

Kamishna Msaidizi wa Polisi, Salum Msangi kutoka Makao Makuu ya Idaya yaUpelelezi wa Makosa ya Jinai (CID), ndiye alikuwa akiongoza kikosi maalumukilichokuwa kikimhoji Nassari.

Msangi ambaye ameteuliwa hivi karibuni kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa mpya waSimiyu, alikuwa akisaidiana na Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Hamisi Wariobakutoka ofisi ya upelelezi Mkoa wa Arusha.

ASP Warioba ndiye aliyewahoji watuhumiwa wengine, John Heche na Ally Banangajuzi kwa zaidi ya saa tisa kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 2:00 usiku,walipoachiwa kwa dhamana na kutakiwa kurejea jana asubuhi.

Awali, Nassari alieleza alikuwa hana taarifa za kuitwa polisi kwa shtaka lolotebali, mara baada ya mkutano huo wa Mei 5, alipokea ujumbe wa simu kutoka OfisaUpelelezi Mkoa wa Arusha, Faustine Mafwere kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa Arusha,Thobias Andengenye alikuwa anamtafuta ili waagane baada ya kuhamishiwa makaomakuu.

“Mimi nimeshangaa leo kusoma katika vyombo vya habari kuwa nasakwa na polisi nandiyo sababu nimekuja kwani awali, nilijua rafiki yangu Andengenye anatakatuagane na nilipanga siku nyingine,” alisema Nassari.


Nassari pamoja na viongozi wengine wa Chadema wanatuhumiwa kutoa kaulimbalimbali za uchochezi ikiwamo, kutishia kujitangazia uhuru wa
Arusha na kanda ya ziwa kama polisi haitawakamata waliohusika na mauaji yamwenyekiti wa chama hicho Kata ya Usa River, Msafiri Mbwambo.

Pia alimtuhumu mtoto wa Rais, Ridhiwan Kikwete kushinikiza uteuzi wa baadhi yaviongozi serikalini.

Bananga ambaye pamoja na Heche pia walikuwa wakisubiri kuhojiwa zaidi janaalisema juzi aliulizwa juu ya kauli zao kwenye mkutano huo, dhidi ya RaisKikwete na mtoto wake Ridhiwan. Huku Heche akisema kwamba aliulizwa juu kauliza Nassari katika mkutano huo.
 
Unajua kwa nn watu wanawadoubt vijana? Ni kwa sababu baadhi yao wanaweza fanya jambo bila impact analysis!
 
Ndiyo maana nilisema haikuwa kauli njema, ila kwanini watu wasijiulize nini kilisababisha atamke kauli ile!
Ukitaka kuuondoa mti mbaya usiendelee kuota unatakiwa ung'oe mizizi yake.
Watu wanapofanya mediation na wanatafuta muafaka huwa wanauliza hivi chanzo ilikuwa nini
Mungi,
Two wrongs doesn't make one right. UVCCM walikosea, je unataka Nassari (au CDM) asawazishe kwa njia alotumia?
 
Kama kijana or rathr mtu yeyote you need to think before yuo speak or do something!
 
sikutegemea kama Nasari ambaye tulimwamini hivi ayafanye haya..ni aibu kwake na wanachadema wenye akili timamu
 
Wewe sio mdogo tena, Umeshapakwa mafuta kuwa mwakilishi wa wameru mashariki wote, Chochote utakachofanya kwa sasa ni msimamo wa jimbo lako chini ya mwavuli wa CHADEMA, kwa hiyo nakuomba umwombe MUNGU akuongezee hekima zaidi, kama mfalme Suleman, Kwa kuwa ameshakupa nguvu kama DAUDI, sasa hivi kwa mkono wa MUNGU unao uwezo wa kumuua GOLIATHI, Kwa hiyo jitahidi usimdhuru SAULI kwa kuwa ni Mpakwa mafuta wa Mungu hata kama anakusudia kumwacha.
 
nasari amepatwa na kichaa au ni ulevi wa madaraka????????????????????????????????
 
Wakuu ile hotuba ya Kamanda Nassari NMC haikuwa imekaa vizuri.
Magamba wataitumia kuishambulia CDM kuwa tunataka kigawa nchi, na itatu cost sana chaguzi zijazo. Pamoja na Kamanda mkuu kuirekebisha Siku ile ni vyema Nassari mwenyewe airekebishe hili swala.
 

mfano wako kuhusu Martin Luther King ni mzuri, ila unapingana na point yako! Kilichosabisha mauaji siyo kauli au uana-harakati wake, ni uonevu na matumizi ya nguvu ya polisi! Kumbuka damu ya mwana cdm imemwagwa Usariver, na Nassari aliitoa kauli iyo alipokua akizungumzia umwagaji damu huo! CDM wanaongea, ccm wanaua, fanya uchambuzi wa kina mwanakijiji!
 

Post nzuri ni ile inayoelezea kauli ilikuwaje iliyotolewa then ndo unatoa ushauri wako, na ambao hatukuisikia inakuwaje ukiandika kama ivyo kuwa ile kauli wengine hatujaisikia
 
Nassari ni mgodo kiumri lakini si mdogo kwa ushawishi wa kisiasa, simply kwasasa ndo mwanasiasa mwenye ushawishi sana nchini kutokana na ushindi wake wa kihistoria kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru! Kwahiyo anapaswa kuacha utoto na maneno ya kwenye campaign na awe kiongozi wa mfano ili vijana tuendelee kuaminiwa na wananchi!
 
ile kauli ya dogo janja isiporekebishwa mapema itaicost sana cdm,dogo janja ningemuona km mweledi sana angeomba radhi,n it was spoken unintentionally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…