Nimependa alivyoachiwa_ila sijapenda maneno aliyoropoka,...ajifunze kufikiri kabla ya kusema.
Wewe ndiye wa kufafanua kwanza huyo aliyekuambia ni nani.Mbona kuna mtu kasema kuwa baada ya kuachiwa huru alikuj kamanda wa polisi sijui yupi sasa na kushangaa wa kwa nini kaachiwa? Fafanua hapo.
Wewe ndiye wa kufafanua kwanza huyo aliyekuambia ni nani.
polisi asanteni sana kwa kuzidi kuiuwa ccm.....
hata minemependa ulivyocoment lakini sijapenda ulivyolopoka.