Joshua Nassari apitishwa kura za maoni ya mkutano mkuu wa CHADEMA - Arumeru

Lakini pia niulize hivi ile harambee aliondesha akishirikiana na Lema ndio haya matunda yake?
Kwa lugha nyingine je pesa ailyopata kwenye harambee ilikuwa na lengo gani?

1. Ni kweli lakini hayakuhusu.

2. Kawaulize waliomchangia

Hiyo michango si sawa na wizi wa EPA kumsaidia "malaika" kwenye uchaguzi.
 
CDM hamna transparency kwenye maswala yahusuyo pesa!
Mkuu labda ni kweli unayosema........
Lakini kwa kutumia akili ya kawaida kabisa unaweza kujiuliza je uchaguzi wa kutafuta mgombea wenye watu wasio zidi elfu moja na unakusanya mamilioni yote yale, je ni ya nini?

 
aandae bange za kutosha kuwapa machalii wa arumeru tu atashinda kama alivyofanya Lema kwa machalii wa town!!
 
aandae bange za kutosha kuwapa machalii wa arumeru tu atashinda kama alivyofanya Lema kwa machalii wa town!!
Kwa hiyo watu wa Arumeru ni wavuta bangi natamani maneno haya ungeongea mbele yao uone kitu wana kufanya..
 
1. Ni kweli lakini hayakuhusu.

2. Kawaulize waliomchangia

Hiyo michango si sawa na wizi wa EPA kumsaidia "malaika" kwenye uchaguzi.
Mkuu hebu jibu hoja basi kama Great thinker, nani kakuuliza kuhusu EPA hapa?
Unajibu majibu utadhani tuko kwenye taarabu au wakinamama wanasutana, eti hayakuhusu
Usipende kusikia yale unapenda kusikia tu, jifunze kukabili usiyoyapenda pia as long yanaukweli
 
Mimibaba mzazi hii issue ya Edo imekaaje yuko hosp gani halafu unasema kapigwa kitu cha jicho? nayeye si wampeleke Appolo akamalizanae na mtu mzima Mwakyembe wakirudi watakuwa mabesti..............Yesu anaweza yotex2 baba imba baba imba Yesu anaweza Yotex10
 
Pongezi sana Nassari kwa ushindi wa kishindo..

Isingewezakana hata kidogo kushindwa kwenye kura za maoni kwa nguvu aliyepewa na viongozi wa Chadema Arusha.

Lema, pamoja na wanachama wa Chadema zaidi ya 50 walimfanyia harambee Nassari, na kuchanga Sh10 milioni na magari manane.

Wagombea wengine walikuwa kama watoto yatima hakuna hata mmoja aliyechangiwa Bajaji au Toyo.

Huo uchaguzi wa kura za maoni ilikuwa sawa sawa kuwapambanisha Villa Squad na Real Mardrid...unategemea nini?
 
Congs kamanda Nassari unanipa ushawishi mkubwa juu ya fikra nilizonazo kumvaa mh mkullo 2015 kama nitapata ridhaa ya chama changu makini,kama nitakosa basi sitakimbia chama changu makini kama alivyofanya huyo mtu wa magamba!nimeweka kambi tayari Moro kujaribu kusoma hisia za wadau ziko vipi na mazingira ya majimbo yote kiujumla!nasoma upepo kama u mp utakua maji marefu basi nitaomba ridhaa kwa wana Moro ki ujumla niwatumikie hata kwa ngazi ya udiwani kupitia chama changu makini Cdm
 
We paulss hamnazo mbona kinaa unaleta issue gani hapa,lengo la harambee ilikuwa kunua mbuzi wa uganga............hakuna rangi mtaacha ona chaliii..........Nassari twende kazi kaka mpaka magamba walimbia kabla ya uchaguzi
Mkuu I reserve my comment
 

Ohooooo,.....
nanusa harufu ya machalii wengi wa arusha kujaa kwenye
kampeni huku sio wapiga kura na matokeo yake ni Nassari
kupanic baada ya matokeo.
 
Lile gogoro ulilokuwa unalitangaza mbona sijaona matunda yake lazima urudishe chenji naona kazi unakushinda sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…