Joshua Nassari apitishwa kura za maoni ya mkutano mkuu wa CHADEMA - Arumeru

Sijui ile feasibility study ya John Mrema kama imefanyika vizuri ili wajue kampeni zao zitakwendaje na kambi wataweka wapi vinginevyo yaliyotokea Igunga na Uzini yatajirudi tu.
Kuna mwarabu pale Maganzo shy ameshafirisika lakini kila siku anasifia injini ya ford aliyonunua mwaka 61 na iko juu ya mawe hamtofautiani.
 
Hiyo ni hatua moja muhimu sana na ya kuigwa kwamba baada ya uchaguzi ndani ya chama walioshindwa wamebaki wamoja na chama kimebaki na umoja na pia wamempongeza Bwana Nassary hivo hakushinda mtu ila ni chama kimeshinda, hiyo ndio demokrasia ndani ya chama, sasa hatua ya pili ni kwenye kampeni hapa inahitajika nguvu ya pamoja ya mgombea, viongozi wa ngazi zote za chama wanachama mashabiki na wapenda mabadiliko, na kazi ya tatu ni kwenda kupiga kura na kuzilinda!!! wale makamanda mliopo Arusha na jirani hamasisheni vijana wazee wababa na akina mama na mlio mbali toeni support kupitia mitandao na njia nyingine yoyote halali!!
 
Hongera kamanda Nassari kwa kuchaguliye kutuwakilisha kwenye mpambano dhidi ya magamba. Naomba uyafuate nyayo za kamanda G. Lemma. Mwaga suma ya kutosha kunyonyoa magamba hata yale yasiyoweza kunyonyoka kwa ndikali. AlutaContinua!!!
 
Big up mzazi lakini john mrema akabidhi pesa yote ya kampeni kutoka makao makuu; arusha na arumeru kuna makamanda wa kutosha dogo arudi dar au vungo asije akatia loss hapo kidizani ikijifanya anaongoza mapambano
 
Kwanza nimpongeze kwa ushindi........
Lakini pia niulize hivi ile harambee aliondesha akishirikiana na Lema ndio haya matunda yake?
Kwa lugha nyingine je pesa ailyopata kwenye harambee ilikuwa na lengo gani?
 
Kwanza nimpongeze kwa ushindi........
Lakini pia niulize hivi ile harambee aliondesha akishirikiana na Lema ndio haya matunda yake?
Kwa lugha nyingine je pesa ailyopata kwenye harambee ilikuwa na lengo gani?
CDM hamna transparency kwenye maswala yahusuyo pesa!
 
We paulss hamnazo mbona kinaa unaleta issue gani hapa,lengo la harambee ilikuwa kunua mbuzi wa uganga............hakuna rangi mtaacha ona chaliii..........Nassari twende kazi kaka mpaka magamba walimbia kabla ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom