Hapo na siasa imeingizwa, eti uchawi! 'nilipokea cm toka kwa mchungaji mmoja' mbona hamtaji jina?! siasa siasa siasa! credit to oct 25! ni maoni yangu tu!
Karne Hii bado unaamini uchawi kweli? Pole sana
Karne Hii bado unaamini uchawi kweli? Pole sana
Dahh chama fullll chakichaga hadi kamteni ni wale wale chodomo ni uchaga mixxa ugalatia
Nasarry ni mshirikina sana.. Yeye na Lema mganga wao yuko Ngaramtoni Arusha.
Karne Hii bado unaamini uchawi kweli? Pole sana
Nasarry ni mshirikina sana.. Yeye na Lema mganga wao yuko Ngaramtoni Arusha.
Karne Hii bado unaamini uchawi kweli? Pole sana
ndesamburo, lema, slaa dah,,hiki chama kina ubinafsi fulani hivi
Cha kumshukuru Mungu ni kwamba Makamanda wote wazima.
KIKUBWA ZAIDI NI KWAMBA CHOPA MPYA INAKUJA KABLA YA KAMPENI KUANZA.
NB: namshauri Ndesa Pesa safari hii anunue chopa la kijeshi kabisa ili kukabiliana na hali yoyote ikiwemo hawa panyaroad (policcm)
Yaani shida hawa jamaa zetu Kwa Kweli baada Ya kushukuru kwa Muumba Upo salama Ati uchawi kweli? Karne hii unaamini uchawi wakati pilot kasema hali ya hewa.....