kokunestory
Member
- Apr 11, 2013
- 86
- 11
serikali sikivu
.......![]()
Mkuu hizi ndo propaganda za siasa, watanzania wengi hudanganyika na hizi propaganda hivyo wanasiasa wameshatudharau wote kuwa hata mkiambiwa hoja tunajenga maamuzi yetu kwenye propaganda. Sasa nao wameamua kwenda sambamba. Upuuzi huu utaisha tu endapo wananchi wenyewe watakubali kuwa makini kuwauliza viongozi na wawakilishi wao maswali yanayoashiria hawataki propaganda. Ukihudhuria mkutano wa kiongozi usikubali kuhutubiwa na mkutano uishe, lazima kikngozi atoe fursa ya kuulizwa maswali na kujibu hoja. Wananchi waache propaganda waulize hoja na maswali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa ahadi za kiongozi. Tukiwa hivi hapa ndo utaona ngonjera hizi kuanza kupungua.Kwanini wabunge wa chadema wasijitofautishe na waccm? Mimi nawashauri wajikite kujenga hoja na watumie lugha nzuri ili tunatofautiana na waccm. Yani wakitumia lugha hizi za hovyo bila kujikita kwenye hoja na solution ya bajeti tajwa, watashindwa kabisa kujinasua ktk mtego wa marumbano ambao ndo ccm wanautaka.
Nassari unatakiwa kuonyesha mipango yenu siyo kulalamika tu.
hahahaaaaa.. Waziri mkuu analia!