Watanzania watajifunza nini kwa wabunge wa chadema zaidi ya mipasho....
Kuelewa kwako shida kamwambie Mulugo Sugu keshasema elimu yake magumashi na kamuita boya ampeleke mahakamani basi
Nassari ameongea pumba tupu. Mpinzani hatakiwi kulalamika tu bali anatakiwa aoneshe njia mbadala.
Sugu naye ana elimu gani sasa Pro-Chadema Sugu kwenu ni msomi.
Nassari ameongea pumba tupu. Mpinzani hatakiwi kulalamika tu bali anatakiwa aoneshe njia mbadala.
Watanzania watajifunza nini kwa wabunge wa chadema zaidi ya mipasho....
huu ndo muda wakuwafahamu wabunge wa magwanda. ni full bangi.Joshua Nassari(CHADEMA) amemjibu Mwigulu(CCM) juu ya madai yake kwamba hotuba ya kambi ya upinzani imejaa malalamiko badala ya hoja.
Akijibu hoja hiyo, Nassari amesema lazima kambi ya upinzani ilalamike kwa sababu CCM imeshindwa kutatua matatizo. Amesema kama viongozi wa serikali wamekuwa wakilalamika, iweje upinzani?
Katoa mifano ya watu wanaolalamika kama vile Rais analalamika kuombewa kuuawa na Waziri mkuu kudondosha machozi.
.......![]()
Sugu naye ana elimu gani sasa Pro-Chadema Sugu kwenu ni msomi.
Kweli CCM hawaoni Kundule..........![]()
huu ndo muda wakuwafahamu wabunge wa magwanda. ni full bangi.
Pinda mchozi hulimtoka haisee dah!!!!!!
Mwigulu amewapiga
nadhani chadema mlitakiwa muishangilie hiyo hoja, maana hata wabunge wenu ni full bangi na hasa wanapokuja bungeni ni lazima wapulizie. au hujaona michango ya sugu na nyasari leo?kuliko yule Kessy wa Nkasi wa CCM Anaetetea bangi ndani ya ukumbi wa bunge? Nadhani alilala ktk siti Akakurupuka kama kawaida ya magamba na usingizi.