Joshua Nassari amjibu Mwigulu Nchemba

Joshua Nassari amjibu Mwigulu Nchemba

Sugu naye ana elimu gani sasa Pro-Chadema Sugu kwenu ni msomi.
Unahesabu elimu interms of vyeti au performance? Kama vyeti katafute vya kuungaunga kama Mulugo uone kama hutatuambia Tanzania ni muunganiko wa Zimbabwe na Kenya. Sugu anawatoa jasho tena anamshangaa mnayedai mchumi namba moja na vyeti vya kuungaunga wanaiba majina
 
1360259383_monkey_backside_grooming.gif
.......
Kwamba CCM Ndio wanafanyiwa hivyo au MWIGULU NCHEMBA.
 
Kwanza arudishe pesa aliyosaidiwa na Mwigulu ndiyo apate ubavu wa kumjibu Mh. Chemba.

Alisema atajiunga JF ili ajibu yale yaliyosemwa na Mh.Mwigulu, mpaka leo hajaonekana.

Haishangazi kwa sababu hata JKT ali promise kama atakwenda lakini akalala mbele.
 
Mbona naye alikuwa analalamika? ama hakujua alivyokuwa akilalamika? kwa sasa nchi yote kila mtu analalamika maana hayupo wa kutatua tatizo/lalamiko la mwenzake na kuamini- ni nyakati za ubinafsi .
 
CCM bhana kama wamelogwa hasa MWIGULU......nina imani atalipwa hapahapa chini ya jua......... sikaitaja mbingu atakiona,,,,,
 
Wakati kenya wakipanga kuwapatia laptops wanafunzi wote, sisi bado tz tunakimbiza mwenge wa uhuru kuzindua miradi binafsi kama car wash ya cet garden arusha. Hata miradi ya serikali ya kuzindua hakuna tena. Wakati wenzetu wameenda mwezini mwaka 1963, sisi mpaka leo tunakimbiza kibatari kwa mamilioni.

umejiunga na wewe kwenye kulalamika! MATENDO TUNATAKA.
 
Joshua Nassari(CHADEMA) amemjibu Mwigulu(CCM) juu ya madai yake kwamba hotuba ya kambi ya upinzani imejaa malalamiko badala ya hoja.

Akijibu hoja hiyo, Nassari amesema lazima kambi ya upinzani ilalamike kwa sababu CCM imeshindwa kutatua matatizo. Amesema kama viongozi wa serikali wamekuwa wakilalamika, iweje upinzani?

Katoa mifano ya watu wanaolalamika kama vile Rais analalamika kuombewa kuuawa na Waziri mkuu kudondosha machozi.
Hana adabu
 
Inasikitisha sana kwa mbunge anayelipwa mshahara unaotokana nakodi za walala hoi kutukana bungeni badala ya kuwatetea waliomtuma pale

Well said Joshua Nassari nawachagiza CDM kuzunguka maeneo mbali mbali ya nchi kutoa elimu ya uraia na kuhakikisha utaratibu wa utoaji maoni ya katiba mpya unakuwa wa tija kwa Taifa.
 
Joshua Nassari(CHADEMA) amemjibu Mwigulu(CCM) juu ya madai yake kwamba hotuba ya kambi ya upinzani imejaa malalamiko badala ya hoja.

Akijibu hoja hiyo, Nassari amesema lazima kambi ya upinzani ilalamike kwa sababu CCM imeshindwa kutatua matatizo. Amesema kama viongozi wa serikali wamekuwa wakilalamika, iweje upinzani?

Katoa mifano ya watu wanaolalamika kama vile Rais analalamika kuombewa kuuawa na Waziri mkuu kudondosha machozi.

Alimjibu na kuhusu ile ela aliyopewa na Mwigulu?
 
Joshua Nassari(CHADEMA) amemjibu Mwigulu(CCM) juu ya madai yake kwamba hotuba ya kambi ya upinzani imejaa malalamiko badala ya hoja.

Akijibu hoja hiyo, Nassari amesema lazima kambi ya upinzani ilalamike kwa sababu CCM imeshindwa kutatua matatizo. Amesema kama viongozi wa serikali wamekuwa wakilalamika, iweje upinzani?

Katoa mifano ya watu wanaolalamika kama vile Rais analalamika kuombewa kuuawa na Waziri mkuu kudondosha machozi.

kama CCM wanalalamika, CUF nao pia wanalalamika. CUF = CCM B
Kama CDM wanalalamika, kama ilivyo kwa CCM, then CCM = CDM

Kwa hiyo mlinganyo ni kuwa CDM = CCM C.

Bado Tanzania hatujapata wapinzani wenye uoni mpana.
 
Joshua Nassari(CHADEMA) amemjibu Mwigulu(CCM) juu ya madai yake kwamba hotuba ya kambi ya upinzani imejaa malalamiko badala ya hoja.

Akijibu hoja hiyo, Nassari amesema lazima kambi ya upinzani ilalamike kwa sababu CCM imeshindwa kutatua matatizo. Amesema kama viongozi wa serikali wamekuwa wakilalamika, iweje upinzani?

Katoa mifano ya watu wanaolalamika kama vile Rais analalamika kuombewa kuuawa na Waziri mkuu kudondosha machozi.

Wote wanaomsakama MWigullu ni magaidi, haiwezekani wataalam wamekiri video,ni ya kweli wao wanapoteza muda kutaka kuzima hoja kwa kumsakama MWigullu
 
Back
Top Bottom