Josephine Mshumbusi ajifungua

Ingekuwa Marekani, slaa angekuwa ameshafilisika kisiasa ila kwa kuwa bongo hamjali personal issues basi ndo twasema hewala
na mku wako aliyeagiza mwanamke kutoka singida?
 
hivi hawa walifunga ndoa lini? natoa shilingi kumpongeza dr........kwa hadhi yake na umri alionao kuzaa nje ya ndoa ni utovu wa nidhamu na atapongezwa na wale wahuni tu.............ni maoni tu
we mwenyewe hujazaliwa ndani ya ndoa na watoto wa nje ya ndoa.
 
Tunaangalia ability ya mtu kuongoza nchi na hoja zake ni nzito kiasi gani, awe mzinzi muasherati hiyo sie haituhusu sababu hiyo sio kipimo cha uongozi bora,ndio maana hata bill clinton aliachwa aendelee kuongoza baada ya scandal ya monica,acheni hasira zisizo na maana
 
ninachokuomba doctor sasa funga ndoa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! Hongera sanaaaaa
 
Hongera Mama Mshumbuzi hongera Dr Slaa.Angalizo mtoto avae nguo za watoto.Magwanda avae akifikisha miaka mitano.
Hahhahahahaahaa ngongo nimecheka mpaka kiselula kimedondoka lol kuna watu wanjua kuchekesha kwa hiyo wasimvalishe magwanda sio???
 
Hongera kwa kuleta kiumbe duniani, hivi huyu ni mtoto wa ngapi wa Dr. Slaa? naskia ana mabinti wakubwa tu. Ningependa niwe wa kwanza kupendekeza jina amuite Rizitwo

Huyu ni mtoto wa tatu,making a total of 2gentlemen and 1lady,....
The Lady,kama alikua anasoma course ya miaka mi-3 basi kamaliza chuo (Ardhi)
mwaka huu,kama ni course ya miaka minne,basi atamaliza chuo mwakani!

The other boy,october possibly atakua anaingia chuo!

What is bad /good ni kwamba these two kids are a lot of miles away from politics
ingawa dad na mama yao ni wana siasa!

Sijui huyu wa tatu itakuaje,maybe ndo atarithi siasa

Hongera kamanda Slaa,
Hivi huyu ndio mtotowake wa kwanza?
 
mmh mbona slaa na mwanaye ni kama mtu na kitukuu chake.duh
 
<br />
<br />
hongera mama yev
 
Jamani tusijifanye tunajua sana kuhukumu, kwa kumbukumbu zangu na historia yangu finyu juu ya dini nabii Ibrahim ( baba wa dini zote kuu mbili hapa bongo Ukristo na Uislamu) alizaa nje ya ndoa tena alizaa na mjakazi wake wakapata mtoto wa kiume wakamuita Isihaka au Isaac huyu ndie waislam wanaamini hadi leo kuwa ndio chimbuko la dini hiyo na pale alipopumzika mama wa Isihaka akitafuta mji hadi leo kunachemchem ya zamzam watu waendao kuhija Makka wanaijua vizuri chemchem hii. Mfalme Daud alimtwaa mke wa kamanda wake wa jeshi wakati mwenye mke akiwa vitani na baada ya kumtwaa walizaa mtoto kama sikosei ndio mfalme solomon au Suleiman ( kwa waislam) sasa kwa nini Slaa ndio aonekane mnafiki, afterall Josephine alishasema kuwa yule jamaa walikuwa wameacha kitambo kirefu 9 kama mwaka hivi) na kesi si imekufa kibudu!
 
du kweli alikosa raha za duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…