Joseph Selasini: Tunapata wapi msuli wa kudai demokrasia ndani ya nchi wakati tunaonyesha mkakati wa kuizuia ndani ya chama?

Na Huyo anayefufua alikuwapo huko baraza la mawaziri kwa miaka 115,
mtu huyo huyo na chama hicho hicho, shetani anamsingizia ibilisi na ibilisi anamsingizia pepo lakini wote ni wamoja.
ndugu yangu nakusikitikia wewe ni mmoja kati ya "mazombi" wa Tanzania, kwani aliyeua hiyo reli ni nani?
Si chui mnakula choroko ndio maana akili zinadumaa?

huwa hamuwazi kabisa, kama vile jamaa analeta kikokotoo, anakifuta mnamshangilia, anateua mtu anamfukuza mnashangilia.

Mfano alimteua Masaju kuwa AG,Masaju alikuwa wakili wa serikali kipindi jiwe akiwa waziri wa mifugo na uvuvi na alishikilia meli ya samaki, waliingia mahakamani na jiwe, jiwe alishindwa ile kesi alipopata uraisi kwa ngekewa akalipa fadhila kwa kumpa masaju u-AG, masaju hakuweza kitu akamtumbua na kumpa ujaji, hii ndio serikali inayoendeshwa kwa mihemko.

Weka ujuha wako pembeni u discuss hoja na si watu
 
Back
Top Bottom