Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Tulia dawa ikuingieRamli chonganishi pelekeni huko Lumumba
Tulia dawa ikuingieRamli chonganishi pelekeni huko Lumumba
Fedha si msingi wa maendeleo; awamu zote zilizopita viongozi wake walikuwa na makusanyo lakini reli ya dsm to Kilimanjaro haikufufuliwaJiwe jana kasema haoni mtu wa "kujenga madaraja, SGR na Stigla," hiv kweli hata kibajaj akipewa urais akaamua kubambikizia watu kesi alafu baadae akawaita mezani wajadiliane ili watoke atashindwa kujenga hayo madaraja na barabara?
Na Huyo anayefufua alikuwapo huko baraza la mawaziri kwa miaka 115,Fedha si msingi wa maendeleo; awamu zote zilizopita viongozi wake walikuwa na makusanyo lakini reli ya dsm to Kilimanjaro haikufufuliwa
Akimchukua dj chadema imekombolewa!!Na siku Mungu akimchukua Jiwe ujue CCM imekombolewa!!
Alivyokuja Mwanza kwenye kampeni zake, ali lala ka guest fulani hivi uchwara kwa wale wa Mwanza watapajua kako maeneo ya misheni barabara ya kwenda uwanja wa ndege. Kesho yake akaenda sehemu inaitwa Buswelu kulikuwa na wasikilizaji kama 40 hivi akamaliza kampeni zake then akaondoka. Ila alikuwa na ulinzi wa polisi. hahahahahahahahahaahHa ha alisema waliompa pole ni wengi kuliko kura zake ,kwahiyo anamashaka aliibiwa
Na takataka za Lumumba ndiyo zinazoongoza kujadili habari za Chadema kwa nia ya kuleta mtafaruku.Mada zooote zinazohusu uchaguzi ndani ya Chadema humu JF zinaazishwa na vijakazi wa chakubanga. Analosema Selasini ni kweli lakini wahusika wanaozileta humu ni vijana wa Lumumba kwa nia ovu.Takataka za Mbowe zitakuja hapa na kutetea kwamba bila Mbowe chadema itakufa!
Yani watanzania sasa mnapaswa kujua kwamba siku Mungu akimchukua Mbowe chadema hakuna.
Onyaneni wenyewe msiojulikana hata jinsia zenu huko LumumbaTulishaonya kitambo ,kuwa chadema ni saccos tukapuuzwa
Na mbuzi jike wote hapo Lumumba mlaaniwe. Na wenye akili timamu wote tuseme Amina!!!Mboye mwenyekiti Wa chaduma milele na nyumbu wote waseme amina.
Ukilinganisha Na viongozi WA CUF Bwana Lipumba, UDP Bwana Cheyo Mbowe ameingia juzi tu. Kama Katiba inamruhusu mwacheni yaendelee. Wengi wanaopiga kelele hapa sio wanachama WA CDM Ni mamluki. Sisi WA Lumumba tuwaachie WA Ufipa mifupa yao ikiwakwama haituhusu.Takataka za Mbowe zitakuja hapa na kutetea kwamba bila Mbowe chadema itakufa!
Yani watanzania sasa mnapaswa kujua kwamba siku Mungu akimchukua Mbowe chadema hakuna.
Nakupa kongole mh. Selasini. Kwa nchi za wenzetu ambako demokrasia imeimarika Mbowe alipaswa kuachia ngazi mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 kwa kumwingiza mamluki Lowasa kwenye chama na kisha ushindwa. Ndivyo alivyofanya David Cameron baada ya kushindwa Brexit. Mbowe aachie ngazi sasa kukinusuru chama.*Anaandika Joseph Selasini Mbunge Wa Rombo (CHADEMA)*
Nilikuwa nasoma tu lakini neno hili limenifanya kuandika kitu.
Chama hiki ni cha kidemokrasia. Tunapata wapi msuli wa kudai demokrasia ndani ya nchi wakati tunaonyesha mkakati wa kuizuia ndani ya chama.
Mhe Mbowe kafanya mengi sana ni ikweli usioweza kujificha au kufichwa. Sasa ni wapi kwenye katiba yetu imeonyeshwa uchaguzi usifanyike au kiongozi aliefanya mengi mazuri na mvumilivu apite bila kupingwa?
Mhe Mwambe ni kiongozi wa chama. Mkiti wa kanda ya kusini, mjumbe wa kamati kuu na mbunge. Kweli ni tendo la kiniidhamu kumtukana kiasi hiki? Na je kumtukana kunatoa picha gani kwa walio nje ya mfumo wa Chadema?
Leo tuko na Mhe Mbowe na tunafikiri hakuna mwingine. Je hatuungi mkono hoja zote za CCM dhidi ya Mbowe? Nilidhani akipata wagombea wenzake hata wanne na akapita ataimarika zaidi na chama kitaonekana kuwa cha kidemokrasia na kuuwa kabisa hoja za kina Kibajaji na Msukuma?
Tunasema Magufuli anasigina katiba na sheria za nchi. Kwani katiba yetu si inamruhusi kila mwanachama kugombea nafasi yoyote ndani ya chama? Kama nimekosea naomba maelekezo.
Comments nyingi zinamchafua Mkiti Mbowe kwa kuwa hajatangaza kugombea na najua kwa sababu wakati na ratiba haijatoka na wanaomsemea hajawaomba kufanya hivyo isije kufahamika ana kundi maana kuwa na kundi kwa wakati huu kwa mujibu wa taratibu ni kuanza kampeni kabla ya muda na unaweza kuchukuliwa hatua.
Kuhusu kushika ilani mbona kile ni kitabu tu? Mbona Waislam wanashika biblia ni wakristu? Hata shati la kijani mbona wengi waliokuwa CCM wanayo? Mhe Bulaya, Mhe Sumaye na wengine hawana?
Naomba matusi haya pelekeni au elekezeni CCM sio wenyewe kwa wenyewe na nadhani hata wanachama wengine waje tu chama kitachangiwa pesa za kutosha kupitia fomu za kugombea nadhani ni mil 5 si haba.
Nenda kagombee umtoe, tutakupa sapoti ndugu.Nakupa kongole mh. Selasini. Kwa nchi za wenzetu ambako demokrasia imeimarika Mbowe alipaswa kuachia ngazi mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 kwa kumwingiza mamluki Lowasa kwenye chama na kisha ushindwa. Ndivyo alivyofanya David Cameron baada ya kushindwa Brexit. Mbowe aachie ngazi sasa kukinusuru chama.
Katoa maoni yake WAZI ndio demokrasia. Hakudukuliwa wala hatohitaji kwenda kuomba radhi kwa kutoa mawazo, mitizamo yake. Wengi mnaotumwa na Nyapara wa barabara ambae amefanikiwa kujenga uoga na unafiki huko Lumumba, mtakuja juta kwa aibu.
Mlimwonya nani? Msajili wa vyama? Kwani msajili wa vyama vya siasa anasajili saccos?Tulishaonya kitambo ,kuwa chadema ni saccos tukapuuzwa
Huwezi fananisha Europe na Afrika kwa kila kitu. Tuna tofauti nyingi za kimsingi. Katika yote standard bearer wa demokrasia anatakiwa awe chama tawala na serikali yake kuhakikisha panakuwa na ushindani wa haki nje na ndani ya vyama na pia kuheshimu yale mliyokubaliana kama taifa (katiba).Nakupa kongole mh. Selasini. Kwa nchi za wenzetu ambako demokrasia imeimarika Mbowe alipaswa kuachia ngazi mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 kwa kumwingiza mamluki Lowasa kwenye chama na kisha ushindwa. Ndivyo alivyofanya David Cameron baada ya kushindwa Brexit. Mbowe aachie ngazi sasa kukinusuru chama.
Huko CCM ndiyo kuna mtambo wa matusi, na wakitukanwa wanakenua tu kama mazuzu.Mkuu;
Mimi ninamuheshimu sana Padri Selasini lakini amenishangaza aliposema matusi yapelekwe CCM!
Nadhani ameteleza katika hoja yake!
Jamaa wa ufipa ni kama zile katuni za watoto chini ya miaka 12, watakuja hapa ni kuulizia zile trilioni moja nukta tano zipo wapi.Eti Chama cha demokrasia na maendeleo-upuuzi !
Cecil Mwambe aliyetangaza Nia ya kugombea uenyekiti ili ashindane na Mbowe anatukanwa kama si Mbunge wao kule mitandaoni.
Baadhi yao 'wamtusio ' wamefikia hatua ya kumtusi yeye na familia yake kisa yeye kutangaza nia ile.
Mytake;Tuelezwe rasmi kama hicho chama ni cha kidkteta au la!