Joseph Selasini, a Square peg in a Round hole?

Huyu ndio alimng'oa Mramba kule Rombo.

Wananchi walimpigia kura za HASIRA baada ya Mramba kuwatukana kina mama wa Rombo.

Sasa yupi afadhali, huyu au Mramba?

Mkuu, kwa ninavyomfahamu mramba na jinsi huyu jamaa alivyotoroka kambi leo, ni sawa na kuulizwa kati ya mvua na jua bora nini
 
Mmhh, mi hiyo point ya tatu, uchaguzi ulikuwa huru na haki ndo yaniacha hoi. yetu macho.
 
hapo sisiem ndo wajiulize inakuwaje mgombea wao anashindwa na mtu bogus, either mgombea wao ni bogus zaidi au watu wamechoka wapo tayari kuchagua jiwe kuliko sisiem

Na CHADEMA pia inabidi wajiulize ilikuwaje wakachukua makapi ya sisiemu??
 
Yaani? Alikuwa anapigiwa makofi na wabunge wa ccm kuanzia mwanzo hadi mwisho. Kwani historia yake ya vyama ikoje, alikuwa chama gani kabla?

Kama unakumbuka walipo toka Bungeni kupinga upitishwaji wa Kanuni ya kambi maalumu, Kuna Mbunge alikuwa akimtaja Selasini kuwa amejiunga na wahuni!!! tena alikuwa kisisitiza sana nikawa natafakari kati ya Wabunge wote wa Chadema kwa nini yeye ndiye anaye tajwa kwa jina tena kwa kusisitiziwa.
 
Imekuwa vizuri ameonesha makucha yake mapema ili wenzake wajue namna ya kufanya naye kazi. Kwa kuwa ametokea NCCR pengine pia anatekeleza bado sera za NCCR. Si unamuona Shibuda hadi leo haijatoka kichwani kwake kwamba yeye siyo ccm tena.
 
Whichever way.... by default alikuwa CCM, then akaenda NCCR na sasa ni CDM!!!!!

Kwa weli asilimia kubwa ya wapinzani walio na umri zaidi ya miaka 40 walishawahi kuwa na kadi ya ccm wakati fulani wakati wa ujana wao. Kuwa mwanachama wa ccm ilikuwa ni lazima ili uweze kupata huduma yoyote au uwe kwenye taasisi yoyote, including jeshi
 
Kauli yako hii ilipaswa kuja na tangible data kwanza. Nachelea kusema imekaa kisiasa zaidi. Ungefafanua huduma zipi hizo, au taasisi gani hizo. Kuna makuruta walikuwa jeshini au national service lakini hawakuwa wana CCM.
 
Mkuu wangu, tukianzisha ligi kwenye swala la mantiki haitapendeza. Mimi nimesema asilimia kubwa, kwani asilimia kubwa kwako ni wangapi? Na siyo kweli kwamba kuna makuruta ambao hawakupata kadi ya ccm kwa sababu tulikuwa tunakatwa kwenye kichele, hivyo haikuwa hiari wala uwezo wa kulipia. Labda umesahau kwamba RTC nao walikuwa wanagawa bidhaa kwa watu wenye kadi ya ccm tu. Au umechoka kidogo nini, unajua tena wakati mwingine unaweza kuwa umepiga deshi mchana!
 
Joseph Selasini the best politician in Moshi, ni adhina kubwa ya Chadema hicho kichwa lazima kipewe Waziri kivuli wa fedha
 
ameteleza tu huyo, bado mpiganaji. akirudia mara ya pili tutajua kalamba rupia ya chechemee toka ka muajemi rostumu
 
Gurudumu,

Nimezungumza nae. Amekanusha hayo yote uliyoandika. Sijaona Hansard. Unaweza kunisaidia taarifa zaidi kuthibitisha maneno yako? Kama mwanachama wa CDM nina haki ya kulalamika dhidi ya kauli kama hizo na hatua zitachukuliwa. Ni makosa makubwa kama tutabaki kushutumu viongozi wetu wholesale bila kujua ukweli na sababu za misimamo yao.

Napinga sana fikra kwamba CDM is a whole mass and each has to think in the same way. That isnt right!
 
Heshima kwako MsandoAlberto,

Mwaka huu tutakanusha kila jambo.Bahati mbaya akina Hamad Rashid,Cheyo Mapesa,A L Mrema na David Kafulila hawana watetezi ........... Siku wakijitokeza watetezi wa wasiokuwa na watetezi jamvi litanoga.
 
mkuu ngongo.... kinachonifurahisha sana ni hii trade mark ya font type unayoitumia ..... unless otherwise ... business as usual
 
yote aliozungumza selasini shauri yake lakini hila na wanafunzi wa kata kufika chuo kikuu ndo limeniumiza, kwani shule hizi zimeanza 2005 hvyo 2009 product ya kwanza ikatoka sasa toka 2009 mpaka mwaka huu kweli wamefika chuo kikuu lini?? hata kama wamefika chuo kikuu basi ni asilimia robo tu ya wanafunzi wote je? hawa wengine selasin anajua walipoishia???

Shule za kata hazikuanza 2005; wazo la shule za kata liliainishwa katika mpango wa national poverty strategy wa mwaka 1998. Hizo shule zilianza kujengwa kipindi cha rais Mkapa.

Zoezi hilo liliongezwa nguvu na ujio wa serikali ya awamu ya nne ambapo PM Lowassa alilifanya moja ya mipango yake na shule za kata zikaanza kujengwa kwa wingi. Kati ya shule za kata zilizopo sasa, karibu asilimia 25 zilianza kabla ya mwaka 2006.
 
Back
Top Bottom